Phone4Sale Samsung S10+ or iPhone X plain

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
826
1,622
Wakuu inakuaajee

Nataka nichukue Mali moja kati ya hizi zote naztaka lakini nataka nichukue moja tu naombeni ushauri ipi nipite nayo kati ya Samsung S10 plus au iPhone X plain

S10+ ram 8gb internal 128gb bei ni 400,000 used

iPhone X plain ram 4gb internal 64gb bei ni 550,000 used

NB: ukikomenti ushuzi nakutukana tusi jipya limetoka mwaka huu.

Screenshot_20230425-094946.png
Screenshot_20230425-094731.png
 
Battery 97. Sio mbaya.

Tuwekee na bei tupime. Au suala la bei kwako hamna? Ni muhimu upate simu mojawapo hapo?

Ingekuwa ni X Max.. ningekwambia uchukue Aifoni, tena uwende unakimbia.
X plain sina Xperience nayo.

S10 Sm.. anayo rafiki yangu, ni nzuri
Sema kadogo 😂😂
 
Battery 97. Sio mbaya…

Tuwekee na bei tupime. Au suala la bei kwako hamna? Ni muhimu upate simu mojawapo hapo?

Ingekuwa ni X Max.. ningekwambia uchukue Aifoni, tena uwende unakimbia.
X plain sina Xperience nayo.

S10 Sm.. anayo rafiki yangu, ni nzuri
Sema kadogo 😂😂
S10 plain ndy ndogo Ila 10+ ni kubwa kiumbo
 
Back
Top Bottom