LJ BLOG
Senior Member
- Jul 24, 2011
- 194
- 154
Jamani Wajuzi wa Maswala ya Android na Rooting Nimekwama Msaada wenu Tafadhari
Mimi natumia Galaxy Note 4 ila sasa inaonyesha ni Version ya Korea SM-N910K ambapo nilipoipata simu hii ilikuwa na android version 5.1.1 Lollipop lakini kwenye Matumizi yake baadhi ya USSD hazifanyi kazi hususani za PESA kama airtel Money nk. Sasa ikawa inanikwaza sana na pia Nikawa natamani kuiupdate kwenye android Version 6.0.1 MarshMallow lakini kila nikiangalia Update kupitia OTA inaniambia No Update. Sasa ndio nikasema Nifikirie Kuroot ili niweze kuweka custom rom sasa wakati naroot nimetumia ODIN V3.13.1 na CF Auto Root ya N910K lakini imeshindikana na Kuleta Maandishi MEKUNDU yameandikwa Recovery is not Seandroid Enforcing' Hapa ndio shughuli yangu imeishia na Naomba Msaada wa kuirudisha in Normal na Pia Ikiwezekana kuweka Android Marshmallow 6.0.1 ili niweze kuitumia.
Japo mwanzo Android iliyokuwepo ni 5.1.1 ambapo kama nilivyosema baadhi ya ussd hazirun sasa nilipokosea hapa nikapata wazo inawezekana simu ilishakuwa rooted So naombeni Msaada wenu Wajuzi
Asante