Sampuli ipi ya kuishi uipendayo katika hizi ? Jichagulie tafadhali .

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,326
4,785
Kwamba :-
Ukipenda uishi kwa majungu owa/olewa na MUHAYA .

Kwamba :-
Ukipenda uishi kwa mapenzi ya ujanjaujanja & usanii , owa/olewa na MCHAGGA .

Kwamba :-
Ukitaka kuishi kwa kuroganarogana , owa/olewa na MFIPA .

Kwamba :
Ukipenda uwe unapewa maneno ya kiraharaha hata kama ndani hamna kitu , owa/olewa na MZENJI .

Kwamba :
Ukipenda ulishwe michopochopo na mianjumati ya ukwehe na ukajenga ukweni , owa/olewa Tanga.

Kwamba :
Ukitaka uishi uumewenza na uharawenza owa/olewa UZARAMONI .

Kwamba :
Unaishi kwa mategemezi ya Shamba , owa/olewa na MSUKUMA .

Kwamba :
Unataka uone mapenzi ya aibu-aibu na haya nyingi , owa/olewa na MUHEHE .

Kwamba :
Wapenda kuishi kwa kubana matumizi na ubahili hadi ujue nusu kilo/kilo 1 ya nyama inatoa finyango ngapi , nusu kg ya sembe inatoa matonge mangapi , kaoe/olewa UPARENI .

Kwamba :
Ukitaka upate kisukari , tende , haluwa , visheti owa/olewa na MWARABU .

Kwamba :
Ukitaka uwe wa kuchanganyikiwa kila siku , owa/olewa na MKEREWE/MJITA .

Kwamba :
Wapenda kubadilishana mkeo/mmeo na jirani , kaoe/olewa UNYAMWEZINI (Sio U.S. A) Ni kule Mboka .

Kwamba :
Ukipenda upige mzigo mkeo na dadaake kaoe KONDOA/USANDAWE .

Kwamba :
Ukitaka kipondo na mabinti zako wanyofolewe "ving'amuzi au minara ya Network" owa/olewa MARA .

Ongezea
 
mhm! makubwa

ukitaka kulogwa, kufanyiwa kitu mbaya, au kuumizwa kichwa oa /olewa na MMKONDE / MNGONI

Ukitaka kuona fahari ya maisha, upendo wa dhati, heshima. na ustrong au ubabe oa / olewa na Wanyakyusa

na wengine waingie wajazie hapa
 
Aisee sijui kama kuhusu Wahaya ni kweli,ila mi huyu toto langu la kihaya nampenda balaa na sijawahi kupata majungu
 
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::shocked::shocked:...

shem Judgement....unajua wifi yako ni wa usukumani na hata jembe hajui linashikwaje!!!!:A S 39:
 
Last edited by a moderator:
mhm! makubwa

ukitaka kulogwa, kufanyiwa kitu mbaya, au kuumizwa kichwa oa /olewa na MMKONDE / MNGONI

Ukitaka kuona fahari ya maisha, upendo wa dhati, heshima. na ustrong au ubabe oa / olewa na Wanyakyusa

na wengine waingie wajazie hapa

Asanta binti watu8 nilikua sijaipata ya wanyalukolo .
 
Last edited by a moderator:
Aisee sijui kama kuhusu Wahaya ni kweli,ila mi huyu toto langu la kihaya nampenda balaa na sijawahi kupata majungu

Itakua bado mnaishi nyie couple only ! Subiri wakija kuongezeka , sijui ma'mdogo wake , shangazie kosa wajibumbe!
 

aaaah shem hapo kwa kondoa mi sikubaliani na ww
hiyo ni hulka ya makabila yote nawdays inategemea
na mtu na tabia yake mwenyewe c kabila!!
 

aaaah shem hapo kwa kondoa mi sikubaliani na ww
hiyo ni hulka ya makabila yote nawdays inategemea
na mtu na tabia yake mwenyewe c kabila!!

Shem ambacho nitakuachamanisha mdomo mimi Mum wangu ni wa Kondoa na Baba wa Tanga . So far i'm chotara of that two regions .
Hence habari ni kutoka vyanzo nami nikavidrop pasipo manyokamanyoka
 
Umeonaee! hiv mbona hupatkan dada? au cku hiz waendesha mascania?

nimeona, si unajua shemeji lako ni lichaga na mie ni wakulelee kwa wandele wa kaya basi vinanogaje!!??

Huku voda haipatikani mpaka ZM CELTEL si unajua dada ako kwa masafa ya mbali sijambo utafikiri naendesha malori hahahaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom