Ila jipu likitumbuliwa bila ganzi lazima maumivu makali yawepo.......hamna namna.....majipu yapo mengi sana mpaka yaishe itachukua muda KIDOGO......tuendelee kuvumilia maumivu.......kutumbua majipu bila kuimarisha hali za kimaisha za wananchi ni sawa sawa na kelele tu
Utadhani ni wapya hajawahi kuwepo kwenye uongozi kumbe ni walewale na chama kilekile
Mama Tiba design kama wanamkomalia.... Wengine sijui, Ila Tiba wanataka kumkwamisha...Tunataka kujua Jesca kilaza kaingia vipi UDOM?
Kunyoosha nchi kwenu ni usanii mtupu Chenge, Ngeleja, Tibaijuka, Gurumo, harbinder, Rugemarila mbona mnawakwepa? Vipi kuhusu MV Dar, UDA, Pride, Wakwapuzi wa nyumba, Lugumi etc hawa mtawanyoosha lini? Na sukari bado tu mnainyoosha? Mpaka lini?
Mama Tiba design kama wanamkomalia.... Wengine sijui, Ila Tiba wanataka kumkwamisha...
Hapo ndio mwisho wa upeo wako duuu ukiwa magamba lazima ujitoe ufahamuKwa hiyo hiyo ndiyo ingekuwa kazi ya Babu Duni na fisadi lowasa kama wangeshinda!
2Alihudumu Uwaziri Mkuu kwa vipindi vingapi?
Mana nimepoteza kumbukumbu
Mzee mwanakijiji umepoteza diraAlichokisema mama Suluhu ndio hali halisi; sisi wengine tunakielewa, tunakikubali na kukiunga mkono. Wao viongozi wetu wametambua hili, wachache bado wanang'ang'ania tuendelee kule kule tulikotaka kutoka. Lakini haina shida, nchi ikinyoka hata wapingaji watafaidi tu. Kwa maneno machache Makamu wa Rais amejibu maswali ya watu wengi.
Mkuu,huyu mama ni mropokaji na mkurupukaji kama Magufuli.Mropokaji kivip mkuu?
Na sijui tulipinda lini na tutanyooka lini ili haya maumivu yaishe. Tunaumia na tunapata maumivu makali sana ya bei ya sukariNa kweli maumivu tunayasikia kisawa sawa. Mfano mzuri ni sukari ilivyo panda bei. Sijui itashuka siku moja.
Sukari sio kwenye chai tu hata kwenye gongo inatumika bei ya bia hatuiwezi gongo imeadimika rudisheni sukari jamaniMlikuwa mnakalia kunywa chai tamu tu hamfanyi kazi, sasa mkafanye kazi, sukari mnataka ya nini?
Ww utakuwa jipu shwainiKauli tata! Mambo ya mikono na siasa ni tofauti kabisa. Unakuwa dikiteita/unakanyaka katiba, haki za binadamu eti unayoosha mkno! Not at all! Je aliyeipinda mnamfanya nini? Yeye anapeta sisi tunaumia, haki iko wapi mama Suluhu?
Wamelewa madaraka mapema sana, haya ni MATUSI