Sam Wa Ukweli ni msanii ambaye alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kucheza na sauti yake na alikuwa na mashairi mazuri pia. Jamaa alitamba sana na vibao kama Sina Raha, Hata Kwetu Wapo. Kwa aliye na taarifa zozote kuhusu anachojishughulisha nacho sasa ivi, tujuzane humu tafadhali.