Saluni 50,000/- kanipoteza mazima

Ushasema baa medi ulitaka akuombe hela ya kulipa ada? Hujui kuwa anatumia gharama ili azidi kupendeza kama wanaume wenzako walivyompendezesha hadi ikapelekea wewe kuvutiwa nae? Ulifikiri kabla yako alikuwa akipendezea hela za nani kama siyo za wanaume wenzako kila mmoja na zamu yake kwa kuwapanga foleni ambayo inaweza fika hadi Ntwara kwenye gesi. Mwanaume gani unakula baa medi wakati mtaani kuna watoto wazuri amabao hata toilet hawajawahi kwenda.

Dada sijui kaka, inaonesha unahasira sana. Mimi naomba nikujibu hasira zako zikiisha.
 
Mkuu, hapo umemkosea, ungempatia tu, hicho ndo kipaumbele chake, zingatia kuwa hapo alikuwa anakuomba mtaji ajitengeneze, apenedeze, avutie na kupendwa na wateja wengi zaidi kule bar ili aongeze kipato kwa kutongozwa na wanaume wengi, ni sawa na kama angekuomba hiyo pesa na kuiwekeza kwenye biashara.
Umemjibu vizuri sana
 
Binti baa medi analipwa laki na hamsini kwa mwezi, anathubutu kuniomba elfu hamsini, sio kulipia kodi ya nyumba au kumsaidia mdogo wake ada bali akatengeneze nywele. Shenzi nimemuacha kuanzia leo, hajui vipaumbele vyake.
hicho ndo kipaumbele chake
 
Jamani anadeka kwa baby wake sianaona wenzie zao zinanunua gari,lles wing,shopping Dubai au China,sasa na yeye anaanza
kwa elfu 50 ebu mpe vibaya ivo....lol
 
Nduka, wa kitambo sana Jf.. Huyo dogo anayeleta matusi ungetskiwa umuongezee
kuna mmoja juzi alinifanya nimporomoshee matusi ya nguo na ya mwili hapa hadharani nilishindwqa kuvumilia maneno ya ya kuitwa kiazi hawa vijana sijui vipi amtu anaandika mambo yao wanayoongea na watoto wenzie huko vijiweni kumwambia mtu ambaye hajui ni mama ama babake kudaaadeki sikumuacha nilitamani kupata ban kwamara ya kwanza
 
When dealing with people, remember you are not dealing with creatures of logic, but creatures of emotion.
 
jun255 hakuna sehemu nimesema bure, ninaweza kukununua wewe na mama yako mzazi hata kwa milioni kumi ila kwa mtu anayefanya kazi ya mshahara wa laki na nusu, sioni kama anatakiwa kutumia elfu hamsini kutengeneza nywele. BTW wewe na mama yako mnaweza kudai shilingi ngapi?
Umejibu sio vibaya isipokuwa kumuhusisha mama yake hapo tu ndio umeharibu ndugu yetu.
 
Wanapenda makuu sana,ila kweli ndugu siku hizi wadada classic kusuka rasta elfu 50,sijui kuweka wigi elf 70,akitaka lace wig cjui lki 3, mbona utawakoma???tafuta size yako asie na makuu na anaewaza maendeleo mda wote..Sio hawa wa kuchuna wala show off
Aah Aggy na wewe tenaaaa khaa unasema atafute wa size yake wakati jamaa anasema hata million 10 anaweza toa?
 
Nduka hahahahahahaha mkuu hawa watu wabaya sana halafu sijui kwanini yaani ma bar maid wanapiga sana mizinga wanadhani pesa zinaokotwa.

Wangekuwa na utaratibu wa kuziweka hizo pesa kwenye masuala ya msingi nadhani wasingekuwa wanadhalilishwa kila siku na madereva wa boda boda.
 
1b392e338127789097f5286ef88d77aa.jpg
 
Back
Top Bottom