Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,794
- 31,804
SALUM ABDALLAH NA NYIMBO YAKE "WANAWAKE TANZANIA"
Nyimbo hii Salum Abdallah aliimba katika siku zake za mwisho.
Hebu tujiulize wanawake aliowaimba ni wanawake gani?
Nimeingia Maktaba kwenye kitabu, "Self Reliant TANZANIA," kilichohaririwa na Knud Erik Svendsen na Merete Teisen kuwatafuta wanawake hawa.
Nimekuta picha hiyo hapo chini ya maandamano ya TANU miaka ya mwanzoni ya uhuru:
Kushoto: Mwamvua bint Mrisho (Mama Daisy).(Mke wa Abdul Sykes), anaefatia si jina lake, Bibi Titi Mohamed, Bi. Zainab (Mke wa Tewa Said Tewa), anaefatia sina jina, Lucy Lameck aliyevaa miwani ya jua.
Namshukuru Allah kwa kunijalia kuwadiriki mama zangu hawa: Mama Daisy, Bibi Titi na Bi. Zainab na kuwasikiliza kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.