Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,172
Wewe ni zuzu. Tangu lini tuhuma zikawa sawa na FACTS, Ukiambiwa uwataje na kuthibitisha hao wanasiasa wenye vyeti feki utaweza ?Vipi kuhusu Mawaziri wabunge wakuu wa mikoa na wilaya acheni ujinga sitetei wenye vyeti feki lakini hizi double standards za nini