Sakata la Madawa ya Kulevya: Wema Sepetu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

*Wema Sepetu Afikishwa Mahakamani na Kupewa Dhamana..*

Hatimaye wema sepetu apata dhamana kwa mashtaka yaliyomfikisha kisutu mbele ya mh. Simba.Wema alikua akiwakilishwa na wakili Msando.Kesi imepangwa kwa kutajwa tarehe 22/2
 
Kwani kuna tofauti gani kati ya Wema na wale waliowekwa chini ya uangalizi? Nilifikiri wote ni watumiaji (wawe wamekiri wenyewe au wameshikwa nazo). Sasa hii kesi ya nini au kuna lingine?
 
Back
Top Bottom