Sajiri hapa.

lydiah

Senior Member
Sep 2, 2015
151
101
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni
(kwa maana ya limited company) na kujiajiri
ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya
leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na
ujiiunue kiuchumi.
Sisi ni wataalamu kwenye swala zima la kusajili
kampuni ya aina yoyote.Tunakamilisha taratibu
zote kuanzia Name search,kuandaa MEMAT
(yaani Memorandum and Articles of
Association) pamoja na process zote za BRELA
na ndani ya wiki moja tunakuletea Certificate of
Incorporation popote ulipo.
Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya
Tanzania wenye nia ya kuanzisha kampuni
Tanzania lakini hawajui waanzie wapi, wasiliana
nasi na kwa pamoja tushirikiane kwa kutimiza
ndoto zako.
Kama utakuwa na swali lolote basi usisite
kuniuliza kwa njia ya whatsap, calls na sms
0768597186.
Au fika ofisin kwetu,
Essence Consult ltd
NHC Building,1st floor,
makunganya street,
Near Askari Manument ,
Dar es salaam.
022 211 3090
doricelucas21@gmail.com
 
Back
Top Bottom