Sajili kampuni na sharose enterprise

Apr 16, 2021
19
20
Je, una wazo la kumiliki Kampuni yako Tanzania?
Karibu Sharose Enterprise tupo kwa ajili yako.
Jukumu letu ni kukupatia ushauri na kukufanikishia usaidizi wa usajili wa Kampuni yako.
Watu wengi wanasajili Kampuni lakini bado hawajatambua namna gani ya kuiendesha Kampuni yake, ukiwa nasi tutakuwa nawe bega kwa bega mpaka unafanikisha kila kitu kinachohitajika katika kuiendesha Kampuni yako.
Tunachohitaji kutoka kwako.
1. TIN namba na Namba za NIDA
2. Jina la Kampuni yako
3. Shughuli za Kampuni yako
4. Mahali ofisi yako yako itakapokuwa
5. Anuani ya posta, barua pepe na namba za simu
6. Unahitaji kusajili Kampuni yako ukiwa na mtaji kiasi.
7. Mahali wamiliki wanapoishi

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi, tunapatikana Sayansi-Dar es Salaam
Mawasiliano yetu ni 0755440118 hii unaweza kupiga au ukatucheck whatsapp moja kwa moja, pia unaweza kutupigia kqa simu namba 0622724864 tukupatie majibu yako kwa haraka.
Karibu sana.
20230211_150809_0000.jpg
20230208_171106_0000.jpg
 
Back
Top Bottom