Sababu kwanini ACT Wazalendo hawazungumzii mkataba mbovu wa bandari

SUTAGI-

JF-Expert Member
Nov 9, 2018
278
515
Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World.

1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi.

Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika moto.

Kiongozi wao mkuu akiwa mkoani Mara akihutubia wafuasi wa chama chake kwenye mkutano wa hadhara aliwashauri Wabunge kuzingatia mambo sita kabla ya kuidhinisha mkataba huo.

Mambo hayo sita aliyoshauri kiongozi huyo hayakuwa tofauti na masuala mengi yanayozungumziwa sasa hivi na wazalendo wengi.

2. Baada ya mikutano hiyo kuisha kama ilivyo ada, chama kiliketi na kutathmini mikutano yao. Katika tathmini hiyo iliibuliwa hoja ya mkataba mbovu wa bandari na DPW. Kwamba Kiongozi mmoja alisikika kwenye mikutano akilizungumzia suala hilo ambalo halikuwa miongoni mwa masuala yaliyokusudiwa ktk mikutano hiyo.

3. Yaliibuliwa mapendekezo kadhaa ya kutaka suala hilo liwe ajenda yao na kusambazwa kwa wananchi au lipotezewe. Katika mjadala, Viongozi wa ACT upande wa Zenji walipinga vikali kuzungumzia suala la bandari na badala yake waliibua suala jingine.

4. Waliibua hoja, kwamba kwa kuwa issue ya bandari ni mwiba kwa Watanganyika na wametendewa na watu kutoka upande wa pili then inaweza kuwa muda mwafaka kupanda mbegu imara ya kuurekebisha muungano wetu ili kuwepo na serikali tatu.

5. Wao (akina Jus'a) wakapendekeza kuwa CDM waachwe wapige kelele kuhusu mkataba mbovu wa bandari wakati ACT ijikite kwenye suala la muundo wa muungano.

6. Kiongozi yule mkuu alijaribu kuzuia hoja hizo, akasisitiza wajikite kwenye ajenda zao za awali za tume huru na uchambuzi wa masuala mbalimbali ya taifa, hata hivyo aligonga mwamba na hatimaye akaamua kukubaliana nao kishingo upande.

7. Kiongozi wa chama baada ya kuona kuwa suala la kuigawa Bara na Zenji halitakuwa na manufaa kwake kisiasa, aliomba mjadala huo urejewe hapo baadaye.

8. Kama kawaida wanyetishaji wakafikisha taarifa hizo za utofauti ndani ya chama cha ACT kwa WENYENCHI, wenyewe wakacheka, mipango ikawekwa na bwana yule akaitwa mbele yao, mipango yao wakamkabidhi na utekelezaji ulianza mara moja.

9. Kiongozi wa chama alipewa maelekezo kuwa asijihusishe katika mambo yote mawili, na hata kama atahusika iwe kwa nia ya kuchota taarifa ambazo zitatumika kuzima azimio lolote la kubadili muungano uliopo au kuzuia mkataba wa bandari na DPW.

10. Kwa mara nyingine tena kiongozi huyo kuongelea suala la bandari ilikuwa kwenye kongamano lililoandaliwa na Rosta Az'z, akiwa kwenye kongamano hilo na baada ya kuwa alilipiwa pesa za kuahirisha safari yake ya kwenda nje ya nchi ili ahudhurie kongamano hilo, alichangia mawazo yake binafsi, na siyo ya chama chake na ktk mchango wake huo alishauri kitu tofauti kabisa na mambo sita ya awali aliyoyaelezea kwenye mkutano wake Mara.

Ndiyo siku aliyopuuza hofu za wananchi alizozizungumzia kule mkoani Mara badala yake akasema BANDARI HAIWEZI KUUZWA KWANI SIYO MADINI YANAYOCHIMBWA NA KUBEBWA.

Siku hiyo baada ya mchango wake alimuuliza sponsor wake kwamba "unaonaje mawazo yangu?''

Naye Sponsor wa kongamano hilo alihitimisha kwa kujaribu kupoteza taswira yoyote ile inayomuhusisha yeye na suala la mkataba huo kwa kukataa katu kuwa yeye hahusiki na suala hilo hivyo kiongozi huyo wa chama hicho hakutakiwa kumuuliza suala lolote katika issue hiyo

11. Kiongozi huyu tangu siku hiyo alijiepusha kabisa kuzungumzia madhaifu ya mkataba badala yake alijikita kuelezea umuhimu wa uwekezaji ktk bandari kama wanavyofanya viongozi wengi wa CCM.

12. Makubaliano mengine na WENYENCHI ni kuhusu udhibiti wa chama chake huko Zenji, naye aliahidi kufanya kila aliwezalo ili kabla ya 2025 kasi ya chama chake upande wa pili iwe imepunguzwa sana. Mkakati mojawapo ni yeye mwenyewe kuendelea kugombea ktk nafasi hiyo ndani ya chama chake ktk uchaguzi ujao na kama atashindwa basi aweke vijana wake wa kutosha katika nafasi nyeti za chama hicho ili wakati wa oparesheni ya kukiua chama Zenji yaani "Shusha Tanga" kazi iwe rahisi

Kwahiyo Kiongozi yule ana wajibu huo kutoka kwa WENYENCHI, ndiyo maana vifaranga wote waliopo chini yake hapa bara hawatanyanyua vinywa vyao kuzungumzia mkataba mbovu wa bandari kuuza bandari zetu

Je, haki yake ni ipi? Ahadi ni nyingi sana lakini itoshe kusema kuwa bwana huyu ameshachagua jimbo lake atakaloliwakilisha kuanzia mwaka 2025, hivyo namtahadharisha kiongozi yeyote wa CCM atakayechaguliwa kugombea jimbo moja na kiongozi huyo wa chama kile asitumie gharama kubwa kwa sababu hatotoboa.

Kwahiyo ndugu zangu msishangae kuona chama hicho hakishiriki seriously kuzungumzia suala la mkataba wa bandari lakini pia ndiyo maana suala la serikali tatu za muungano wetu linazungumziwa na viongozi wa chama hicho upande wa Zenji tu na si kiongozi yeyote wa bara
 
Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DPW

1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi.

Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika moto.

Kiongozi wao mkuu akiwa mkoani Mara akihutubia wafuasi wa chama chake kwenye mkutano wa hadhara aliwashauri Wabunge kuzingatia mambo sita kabla ya kuidhinisha mkataba huo.

Mambo hayo sita aliyoshauri kiongozi huyo hayakuwa tofauti na masuala mengi yanayozungumziwa sasa hivi na wazalendo wengi.

2. Baada ya mikutano hiyo kuisha kama ilivyo ada, chama kiliketi na kutathmini mikutano yao. Katika tathmini hiyo iliibuliwa hoja ya mkataba mbovu wa bandari na DPW. Kwamba Kiongozi mmoja alisikika kwenye mikutano akilizungumzia suala hilo ambalo halikuwa miongoni mwa masuala yaliyokusudiwa ktk mikutano hiyo.

3. Yaliibuliwa mapendekezo kadhaa ya kutaka suala hilo liwe ajenda yao na kusambazwa kwa wananchi au lipotezewe . Katika mjadala, Viongozi wa ACT upande wa Zenji walipinga vikali kuzungumzia suala la bandari na badala yake waliibua suala jingine.

4. Waliibua hoja, kwamba kwa kuwa issue ya bandari ni mwiba kwa Watanganyika na wametendewa na watu kutoka upande wa pili then inaweza kuwa muda mwafaka kupanda mbegu imara ya kuurekebisha muungano wetu ili kuwepo na serikali tatu.

5. Wao (akina Jus'a) wakapendekeza kuwa CDM waachwe wapige kelele kuhusu mkataba mbovu wa bandari wakati ACT ijikite kwenye suala la muundo wa muungano.

6.Kiongozi yule mkuu alijaribu kuzuia hoja hizo, akasisitiza wajikite kwenye ajenda zao za awali za tume huru na uchambuzi wa masuala mbalimbali ya taifa, hata hivyo aligonga mwamba na hatimaye akaamua kukubaliana nao kishingo upande.

7.Kiongozi wa chama baada ya kuona kuwa suala la kuigawa Bara na Zenji halitakuwa na manufaa kwake kisiasa, aliomba mjadala huo urejewe hapo baadaye.

8. Kama kawaida wanyetishaji wakafikisha taarifa hizo za utofauti ndani ya chama cha ACT kwa WENYENCHI, wenyewe wakacheka, mipango ikawekwa na bwana yule akaitwa mbele yao, mipango yao wakamkabidhi na utekelezaji ulianza mara moja.

9. Kiongozi wa chama alipewa maelekezo kuwa asijihusishe katika mambo yote mawili, na hata kama atahusika iwe kwa nia ya kuchota taarifa ambazo zitatumika kuzima azimio lolote la kubadili muungano uliopo au kuzuia mkataba wa bandari na DPW.

10. Kwa mara nyingine tena kiongozi huyo kuongelea suala la bandari ilikuwa kwenye kongamano lililoandaliwa na Rosta Az'z, akiwa kwenye kongamano hilo na baada ya kuwa alilipiwa pesa za kuahirisha safari yake ya kwenda nje ya nchi ili ahudhurie kongamano hilo, alichangia mawazo yake binafsi, na siyo ya chama chake na ktk mchango wake huo alishauri kitu tofauti kabisa na mambo sita ya awali aliyoyaelezea kwenye mkutano wake Mara.

Ndiyo siku aliyopuuza hofu za wananchi alizozizungumzia kule mkoani Mara badala yake akasema BANDARI HAIWEZI KUUZWA KWANI SIYO MADINI YANAYOCHIMBWA NA KUBEBWA.

Siku hiyo baada ya mchango wake alimuuliza sponsor wake kwamba "unaonaje mawazo yangu?''

Naye Sponsor wa kongamano hilo alihitimisha kwa kujaribu kupoteza taswira yoyote ile inayomuhusisha yeye na suala la mkataba huo kwa kukataa katu kuwa yeye hahusiki na suala hilo hivyo kiongozi huyo wa chama hicho hakutakiwa kumuuliza suala lolote katika issue hiyo

11. Kiongozi huyu tangu siku hiyo alijiepusha kabisa kuzungumzia madhaifu ya mkataba badala yake alijikita kuelezea umuhimu wa uwekezaji ktk bandari kama wanavyofanya viongozi wengi wa CCM.

12. Makubaliano mengine na WENYENCHI ni kuhusu udhibiti wa chama chake huko Zenji, naye aliahidi kufanya kila aliwezalo ili kabla ya 2025 kasi ya chama chake upande wa pili iwe imepunguzwa sana. Mkakati mojawapo ni yeye mwenyewe kuendelea kugombea ktk nafasi hiyo ndani ya chama chake ktk uchaguzi ujao na kama atashindwa basi aweke vijana wake wa kutosha katika nafasi nyeti za chama hicho ili wakati wa oparesheni ya kukiua chama Zenji yaani "Shusha Tanga" kazi iwe rahisi

Kwahiyo Kiongozi yule ana wajibu huo kutoka kwa WENYENCHI, ndiyo maana vifaranga wote waliopo chini yake hapa bara hawatanyanyua vinywa vyao kuzungumzia mkataba mbovu wa bandari kuuza bandari zetu

Je, haki yake ni ipi? Ahadi ni nyingi sana lakini itoshe kusema kuwa bwana huyu ameshachagua jimbo lake atakaloliwakilisha kuanzia mwaka 2025, hivyo namtahadharisha kiongozi yeyote wa CCM atakayechaguliwa kugombea jimbo moja na kiongozi huyo wa chama kile asitumie gharama kubwa kwa sababu hatotoboa.

Kwahiyo ndugu zangu msishangae kuona chama hicho hakishiriki seriously kuzungumzia suala la mkataba wa bandari
lakini pia ndiyo maana suala la serikali tatu za muungano wetu linazungumziwa na viongozi wa chama hicho upande wa Zenji tu na si kiongozi yeyote wa bara
Suala la Bandari limemuweka njia ZZK
 
Zitto anajimaliza kisiasa upande wa upinzani nauona uelekeo wake kwenda ccm siku zijazo....kijana Huyu alikuwa machachali Sana kwenye mikataba mibovu kuanzia buzwagi hadi akatimuliwa bungeni..ile spirit imekwenda wapi au coz amekuwa part ya walamba asali muda mrefu..
 
Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World.

1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi.

Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika moto.

Kiongozi wao mkuu akiwa mkoani Mara akihutubia wafuasi wa chama chake kwenye mkutano wa hadhara aliwashauri Wabunge kuzingatia mambo sita kabla ya kuidhinisha mkataba huo.

Mambo hayo sita aliyoshauri kiongozi huyo hayakuwa tofauti na masuala mengi yanayozungumziwa sasa hivi na wazalendo wengi.

2. Baada ya mikutano hiyo kuisha kama ilivyo ada, chama kiliketi na kutathmini mikutano yao. Katika tathmini hiyo iliibuliwa hoja ya mkataba mbovu wa bandari na DPW. Kwamba Kiongozi mmoja alisikika kwenye mikutano akilizungumzia suala hilo ambalo halikuwa miongoni mwa masuala yaliyokusudiwa ktk mikutano hiyo.

3. Yaliibuliwa mapendekezo kadhaa ya kutaka suala hilo liwe ajenda yao na kusambazwa kwa wananchi au lipotezewe. Katika mjadala, Viongozi wa ACT upande wa Zenji walipinga vikali kuzungumzia suala la bandari na badala yake waliibua suala jingine.

4. Waliibua hoja, kwamba kwa kuwa issue ya bandari ni mwiba kwa Watanganyika na wametendewa na watu kutoka upande wa pili then inaweza kuwa muda mwafaka kupanda mbegu imara ya kuurekebisha muungano wetu ili kuwepo na serikali tatu.

5. Wao (akina Jus'a) wakapendekeza kuwa CDM waachwe wapige kelele kuhusu mkataba mbovu wa bandari wakati ACT ijikite kwenye suala la muundo wa muungano.

6. Kiongozi yule mkuu alijaribu kuzuia hoja hizo, akasisitiza wajikite kwenye ajenda zao za awali za tume huru na uchambuzi wa masuala mbalimbali ya taifa, hata hivyo aligonga mwamba na hatimaye akaamua kukubaliana nao kishingo upande.

7. Kiongozi wa chama baada ya kuona kuwa suala la kuigawa Bara na Zenji halitakuwa na manufaa kwake kisiasa, aliomba mjadala huo urejewe hapo baadaye.

8. Kama kawaida wanyetishaji wakafikisha taarifa hizo za utofauti ndani ya chama cha ACT kwa WENYENCHI, wenyewe wakacheka, mipango ikawekwa na bwana yule akaitwa mbele yao, mipango yao wakamkabidhi na utekelezaji ulianza mara moja.

9. Kiongozi wa chama alipewa maelekezo kuwa asijihusishe katika mambo yote mawili, na hata kama atahusika iwe kwa nia ya kuchota taarifa ambazo zitatumika kuzima azimio lolote la kubadili muungano uliopo au kuzuia mkataba wa bandari na DPW.

10. Kwa mara nyingine tena kiongozi huyo kuongelea suala la bandari ilikuwa kwenye kongamano lililoandaliwa na Rosta Az'z, akiwa kwenye kongamano hilo na baada ya kuwa alilipiwa pesa za kuahirisha safari yake ya kwenda nje ya nchi ili ahudhurie kongamano hilo, alichangia mawazo yake binafsi, na siyo ya chama chake na ktk mchango wake huo alishauri kitu tofauti kabisa na mambo sita ya awali aliyoyaelezea kwenye mkutano wake Mara.

Ndiyo siku aliyopuuza hofu za wananchi alizozizungumzia kule mkoani Mara badala yake akasema BANDARI HAIWEZI KUUZWA KWANI SIYO MADINI YANAYOCHIMBWA NA KUBEBWA.

Siku hiyo baada ya mchango wake alimuuliza sponsor wake kwamba "unaonaje mawazo yangu?''

Naye Sponsor wa kongamano hilo alihitimisha kwa kujaribu kupoteza taswira yoyote ile inayomuhusisha yeye na suala la mkataba huo kwa kukataa katu kuwa yeye hahusiki na suala hilo hivyo kiongozi huyo wa chama hicho hakutakiwa kumuuliza suala lolote katika issue hiyo

11. Kiongozi huyu tangu siku hiyo alijiepusha kabisa kuzungumzia madhaifu ya mkataba badala yake alijikita kuelezea umuhimu wa uwekezaji ktk bandari kama wanavyofanya viongozi wengi wa CCM.

12. Makubaliano mengine na WENYENCHI ni kuhusu udhibiti wa chama chake huko Zenji, naye aliahidi kufanya kila aliwezalo ili kabla ya 2025 kasi ya chama chake upande wa pili iwe imepunguzwa sana. Mkakati mojawapo ni yeye mwenyewe kuendelea kugombea ktk nafasi hiyo ndani ya chama chake ktk uchaguzi ujao na kama atashindwa basi aweke vijana wake wa kutosha katika nafasi nyeti za chama hicho ili wakati wa oparesheni ya kukiua chama Zenji yaani "Shusha Tanga" kazi iwe rahisi

Kwahiyo Kiongozi yule ana wajibu huo kutoka kwa WENYENCHI, ndiyo maana vifaranga wote waliopo chini yake hapa bara hawatanyanyua vinywa vyao kuzungumzia mkataba mbovu wa bandari kuuza bandari zetu

Je, haki yake ni ipi? Ahadi ni nyingi sana lakini itoshe kusema kuwa bwana huyu ameshachagua jimbo lake atakaloliwakilisha kuanzia mwaka 2025, hivyo namtahadharisha kiongozi yeyote wa CCM atakayechaguliwa kugombea jimbo moja na kiongozi huyo wa chama kile asitumie gharama kubwa kwa sababu hatotoboa.

Kwahiyo ndugu zangu msishangae kuona chama hicho hakishiriki seriously kuzungumzia suala la mkataba wa bandari lakini pia ndiyo maana suala la serikali tatu za muungano wetu linazungumziwa na viongozi wa chama hicho upande wa Zenji tu na si kiongozi yeyote wa bara
Udini wa wajinga na dini zao fake
 
Back
Top Bottom