James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,550
- 14,409
Baada ya kuona hiyo twitter nimekumbuka vipindi vyaa Issa Shivji ktk ITV kuhusu katiba mpya alisema
Katiba itamke wazi kuwa anga la Tanzania halitakuwa chini ya utawala wowote au kukodishwa kwa nchi yoyote
Katiba itamke wazi kuwa anga la Tanzania halitakuwa chini ya utawala wowote au kukodishwa kwa nchi yoyote