Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,688
- 3,734
Kwa wanaofuatilia Siasa za Kanda ya Ziwa mtakua pamoja namm kuiona pattern inayojichora ya Paul kagame,Mseveni na Ruto
Hatimaye Ruto kaingia kwene 18 za hawa jamaa saizi nayeye kaanza kupambana na wabantu.
Anahakikisha kenya haitakuja kutawaliwa na wabantu milele kwa kuwaweka mawazili wenye asili ya nilotic na wasomali.
VITA bado ni kali ukanda huu.
Wabantu ni watu wasio na umoja Africa nzima richa ya kuwa ndio wengi kwene ukanda wa subsahara lakini impact yao ni zero.
Kwanini wanachukiwa
Wabantu wanachukiwa kwa sababu uzao wao umebarikiwa
Nchi zao hazina vita
Nchi zao ndio zenye uchumi mkubwa
Nchi zao zinastawi kulinganisha na jamii nyingine
Uzao wao umetapakaa maeneo yote ya Africa hasa kusini mwa africa.

Somali politicians secure top positions in Kenya’s security apparatus
Mogadishu (HOL) - Ethnic Somali politicians from Kenya's North East region are gaining more clout in Kenyan President William Ruto’s government, particularly in the security sector.
www.hiiraan.com