Daah nimefungua mAljazeera sahivi nikakumbana na hiii kit. Aiseee nimestuka. Hii inamaanisha nini wadau?
Si maana yake China na Urusi wako tayari ku defend allies wao kweny lolote lile.
Urusi na China wamenisikitisha kwa kweli
which means kale kamdudu ka North Korea anytime marekani akitaka kukapa kichapo Mrusi na China lazima waingilie.
Najiuliza tu....huku kijijini Kagera nilipo sasa hivi mabomu hayatafika kweli haw watu wakizichapa?
uonevu uko wapi mkuu?Sasa wewe ulitaka Syria ionewe?
kinahokushangaza kwe hiikura ya leo ni nn hasa maana siku zote russia&china wamekua waki oppose resolution za west zilizo against syria kwe UNSC, amna jipya lolote hapoDaah nimefungua mAljazeera sahivi nikakumbana na hiii kit. Aiseee nimestuka. Hii inamaanisha nini wadau?
Si maana yake China na Urusi wako tayari ku defend allies wao kweny lolote lile.
Urusi na China wamenisikitisha kwa kweli
which means kale kamdudu ka North Korea anytime marekani akitaka kukapa kichapo Mrusi na China lazima waingilie.
Najiuliza tu....huku kijijini Kagera nilipo sasa hivi mabomu hayatafika kweli haw watu wakizichapa?
Watamkomoa vp,....?? Ikiwa mshirika wao anataka kuvamiwa...?China na Russia ni kama huwa wanafanya kuwakomoa Marekani tu