sizani kama rubani alikuwa anasema sahihi. navyojua ndege hizi kubwa zinazosafiri umbali mrefu (over continental) huwa wana switch kwenye autopilot navigation pale wanapokuwa wamefikia kiwango cha altitude (cruising altitude) kinachotakiwa baada ya maelekezo kutoka kwa air traffic controller. swali la msingi ni kwa nini wana-engage autopilot, ni kupunguza uwezekano wa ndege kuyumba na kurahisisha abiria kusafiri raha mstarehe...(autopilot vs manual model). ndege inapokuwa angani lolote linaweza kutokea kwa mfano ndege kumis-behave kutokana na turbulence or technical issues...na ni jukumu la rubani kuwepo na ku-fix hizo errors. jambo jingine ni crossing air traffic, rubani lazima awe macho kuangalia njia anayotumia na ndege nyingine anazopishana nazo ili ku-avoid mid-air collision...(kwa msaada wa air traffic controller ambao wanakuwa kwenye zile control tower...kwa ndege za sasa kuanzia technology ya DC-9, DC-10 na haya ma-boeing na Airbus kama ndege 2 ziko kwenye same cruising altitude, alert warning itatoka kwenye each flight....descend...or..Climb! sasa kasheshe itakuwa badala ya mmoja apande na mwingine ashuke...wote wanakuja ku-execute the same decision...ndo maana unasikia ndege za abiria zimegongana angani...(uzembe wa mwongoza ndege na Rubani pia)...Refer case ya Bashkirian Airlines Flight 2937 against DHL Flight 611 maarufu kama Überlingen mid-air collisionNilikua namsikiliza yule rubani mwanamke alikua anasema, ndege za boieng hasa za kisasa ni rahisi sana, unai programme tu na unaweza kwenda kulala.
https://www.google.com/url?sa=t&rct...8Q_ZtgKYbO_KfafYg&sig2=CT6Wiv4oXRDayrHDPod9bQ