Mtenda nziso
New Member
- Dec 30, 2015
- 3
- 0
Eleza kuhusu.Naomba kujua router ya kampuni gan na aina gani ni nzur kwaajili ya biashara?
Yuko wapiKuna jamaa anauza zinasupport laini yoyote nilinunua 80000 ziko poa sana
Dar mkuuYuko wapi
Upo serious mkuu niambie Nina mtu anauzaNahitaji kwanza iwe ya kuchaji pili mult line
Ukishapata router naomba uje nkuuzie unlimited internet ya Tigo mkuuNaomba kujua router ya kampuni gan na aina gani ni nzur kwaajili ya biashara?
Hyo ndio nahitaj,nataman nitoe huduma kwa watu walioniznguka nna shinda nao hasa staffUkishapata router naomba uje nkuuzie unlimited internet ya Tigo mkuu
Karibu sana mkuuHyo ndio nahitaj,nataman nitoe huduma kwa watu walioniznguka nna shinda nao hasa staff
Hizo router za 80k bado zipo?Dar mkuu
Zipo.Hizo router za 80k bado zipo?
Subiri Elion Musk apate kipali ununue starlink.Naomba kujua router ya kampuni gan na aina gani ni nzur kwaajili ya biashara?
Nitakucheck mkuu soon keep me updated. Mnapatikana wapi physicsl locationZipo.
Airtel speed ya kobeMimi natumia ya airtel iko poa sana