Rose Muhando ahamia Kenya

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
Mwimbaji wa nyimbo za njili Rosa Muhando ametangaza rasmi amehamishia makao yake ya kuishi na biashara kwenda Nairobi Kenya..
Je hii inaweza kuwa kwa TRA kuanza kuwatoa kodi kubwa wasanii ? Majuzi kulikuwa na tetesi msanii Diamond alitakiwa alipe milioni 400 kama kodi na TRA.
 
Watahama wengi tu mapedeshe wote wapo ndani unategemea nini na walishazoea kuishi maisha ya kuigiza!
 
Huyu kuhama kwake labda ni anavyofuatailiwa juu ya masakata ya kutumia unga na kukimbia show ambazo kashapokea pesa.

Tuseme Kenya Kodi yao inampa ahueni mgeni aliyekuja kikazi kushinda kodi za Tanzania kwa mzawa wao?
 
Naiona fursa hiyo kwa wasanii wa muziki wa injili tu.

Hao wengine kazi zao CHAFU zitapokelewa nchi gani???!!!!!
 
Huyu kuhama kwake labda ni anavyofuatailiwa juu ya masakata ya kutumia unga na kukimbia show ambazo kashapokea pesa.

Tuseme Kenya Kodi yao inampa ahueni mgeni aliyekuja kikazi kushinda kodi za Tanzania kwa mzawa wao?
Mbona unajibu?
 
Rose Mhando ni msanii siyo wasanii.Nilitarajia kwenye thread utaje wasanii wawili au watatu na zaidi waliohama.!
 
Hata Ray C alivyochemka hapa akakimbilia Kenya alivyorudi hapa akawa hatamaniki kwa kubwia unga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…