Ronaldo hat trick tena, Sadio Mane apiga mbili!

Kichuchunge

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
368
953
Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick wakati timu yake ya Al-Nassr ikipata ushindi wao wa kwanza wa Saudi Pro League msimu huu kwa kuwafunga Al Fateh 5-0 Ijumaa hii usiku.

Mbali na RonaLdo, mshambuliaji wa zamani wa Bayern Munich, Sadio Mane alianza kuifungia Al-Nassr dakika ya 28 na Ronaldo kutoa pasi ya bao.

Ronaldo kisha alifunga mara mbili kabla ya Mane kupata mabao yake mawili.
 
Kwa sasa ana magoli mangapi kwa ujumla ktk carrier yake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom