Ripoti ya CAG inaonesha kuwa, Halmashauri 3 za CHADEMA zimepata Hati chafu

jamani habar hii mbona sikuisikia. inaonekana ilifichwa fichwa. unafiki mtupu. tusiwe wanafik kama tunawakosoa ccm basi nasi tuwe tayar kukosolewa. kwa mtaji huu sasa tulikuwa tunataka kwwnda mjengoni ikulu kufanya nini. au kupeana zamu ya kula na kufisadi. hatuma moral authority ya kuuaminisha umma kuwa sisi ni safi.
 
Back
Top Bottom