Rio Paul

rio kavaa habaya

pamoja na mapungufu yake
ila nampenda sana...
ananielewa nini anafanya
 
Word, huyu jamaa hata London fashion week anakwenda tena unamwona mstari wa mbele kabisa, kama ni fashion designing basi anajua anachokifanya.
yani rio anajielewa
mm ma designer nnaowakubali ni rio
pamoja na mambo yake ila skendo kuubwa na kujionyesha sio sana kwakweli..
 
Ukiwa na rafiki gay ni watu wazuri sana, sio selfish, he will be there for you 24/7, he will share with you all his up and downs. Pia wengi wao wako delicate sana wakiumizwa. Being hurt for them is so painful.
 
Ukiwa na rafiki gay ni watu wazuri sana, sio selfish, he will be there for you 24/7, he will share with you all his up and downs. Pia wengi wao wako delicate sana wakiumizwa. Being hurt for them is so painful.
Aisee kumbe.!
 
hakuna aliemkamilifu ila sija support huu ujinga vijana wanapotea sababu ya kuiga maisha ya watu kama hawa
Ikitokea mtoto wako ana tabia hizi utamuua? Tuwapende watoto wetu na kuwalea vizuri, kuwapa elimu lakini kuna maamuzi mengine ni ngumu kuyadhibiti.
Rafiki yangu wa karibu sana mwanaume mtoto wake mmoja tu wa kiume ni shoga, hawajaonana kwa zaidi ya miaka kumi tangu agundue. Nilikaa nae nikamueleza ninajua unaumia lakini mwisho wa siku ni mwili wake ndio amependa utumike hivyo, hii haibadilishi uhalisia kuwa wewe ndiye baba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…