Teh teh teh teh teh!! Mkuu acha basi mataniKuna kitu hii inaitwa ABC Bank, jamaa kachukua 6mil afu kurudisha ni 14mil daaah asee
Duh pole mkuu. Mkopo ni nouma ukiuchukua ndo akili inaanza kuchemka mara sijui nifungue biashara ya chips mara niende Morogoro kulima kuja kushtuka vyura nao wamekuzunguka. Hela inapukutika tu mwisho wa siku unaanza kujenga msingi lakini sasa haitoshi unaishia kununua sofa na flat screen TV.mwenzangu nami, mie gari na makabati yaliondoka, karibia nirudi kwenye umaskini, mpaka hapo nimeogopa mkopa yapata miaka mitatu sasa, maendeleo nayasikia kwa jirani
Nakwambia mkuu hawa jamaa ni hatari sana watu wanalia now,na hiyo wanamkata kwa miaka 4 na nusuTeh teh teh teh teh!! Mkuu acha basi matani
Means 270000 kwa mwezi for 4.5Teh teh teh teh teh!! Mkuu acha basi matani
Ulipokuwa unafanyiwa analysis,si ulitoa data mwenyewe zinazo onyesha una qualify?si ulisaini mkataba mwenyewe?si ulidraw nakuzitumia,au sio wewe?Kwa Bank kama ACCESS BANK ni shida na jipu kubwa Africa Mashariki na duniani kwa ujumla, wana riba kubwa isiyoelezeka na wanakupa mkopo kiukaini sana lakini watu wana filisiwa mali zao haraka pasipo hata kufuata sheria, unajikuta unalipa mpaka mtaji wako wa biashara jwa jinsi riba ya mkopo ilivyokuwa kubwa na ya kutisha
Kama hujakopa nakushauri uende japo NMB na sio private banks hususan Access Bank ni wanyama sirudii tena kukopa
Hahahaaaaaa mkuu umenikumbusha Kuna jamaa yangu akichukua loan na kwenda kufunga ndoa,, bonge la suti, party la maana balaaDuh pole mkuu. Mkopo ni nouma ukiuchukua ndo akili inaanza kuchemka mara sijui nifungue biashara ya chips mara niende Morogoro kulima kuja kushtuka vyura nao wamekuzunguka. Hela inapukutika tu mwisho wa siku unaanza kujenga msingi lakini sasa haitoshi unaishia kununua sofa na flat screen TV.
Jifunzeni kutii mikataba,msipende kuishi kiswahili swahiliKuna siku nilimpa faka afisa mikopo wao baada ya kuanza kunipigia nikiwa kwenye sherehe nikamuuliza mbona siku mliyoniwekea mkopo uliingia saa 12jioni je muda huo nilizitoa na kuanza biashara. Mbona nyie siku moja tu mnachonga sana!! Aisee hadi alikata simu
Harafu baada ya kuoa anaanza moja ilimradi kaweka heshimaHahahaaaaaa mkuu umenikumbusha Kuna jamaa yangu akichukua loan na kwenda kufunga ndoa,, bonge la suti, party la maana balaa
Hahahaaaaaa mkuu umenikumbusha Kuna jamaa yangu akichukua loan na kwenda kufunga ndoa,, bonge la suti, party la maana balaa
Ooh analalamika kila siku mkewe anataka kamuacha njaa kaliHarafu baada ya kuoa anaanza moja ilimradi kaweka heshima
Hizo ndio fikra za kishirikinaHahaha bora crdb wanakula nawewe kwenye mshahara angalau stress zinapungua kidogo ingawa hela za mkopo ni kama zina mashetani. Ili uzifanyie kazi vizuri inabidi ushetani wako uwe zaidi.
Hapo mkuu lazima utakuwa umechukua kulipa kwa muda mrefu kama miaka mitano hivi. Kumbuka time ni determant factor katk riba.NMB nilichukua 7m narudish 10500000 daahh nimekoma
Unadhani BOT kama supervisor na regulator hajui ama yeye ndio Jipu?Kwa wale ambao wanahitaji mikopo au wanaofanya shughuli zao kwa kutegemea facilities za Mabenki kwa kweli hili jipu linahitajika kuangaliwa upya.
Kwa hapa nchini ukiangalia Prime Lending Rates kwa kweli zipo juu sana, zinafikia mpaka 30%. Ni watu wachache sana watakaoweza kufanya biashara na kupata faida.
Mikopo mingi hairejesheki, sijui ni kwa namna gani wataalam wa uchumi watasaidia katika hili,, ila maendeleo yatakua magumu kufikika kwa mwananchi wa kawaida, kama mwananchi huyo atakua hana uwezo wa kukopa na kufanya shughuli za maendeleo.
Wengi wa wakopaji unakuta dhamana zao zinaishia kutumika ili kurealize madeni yao kwa mabenki.
Magufuli ana mtihani mwingine kuhakikisha kweli hili linafanyiwa kazi maana ni jipu.