Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,640
- 729,672
- Thread starter
- #21
Kuna mtu aliandikiwa ujumbe unaosema. '......jiulize kwanini mpaka Leo upo huru....najua na hili utaandika .....lakini kumbuka ipo siku utabaki pekeyako na chatu. ..' halafu yule jamaa siku hizi simuonimshana jr hii c level yako. Waachie wale ma under ground.
Nilipoona hii picha nikayakumbuka hayo maneno na kuwaza unapobaki pekeyako na chatu inavyokuwa