Refu SANA

Dupe najua hata wewe umekuja mbio kuangalia nini refu sana
Mr Rocky nilikuja mbiombio ila comment yako ikawa yakwanza kuiyona kabla sijaona picha ukanishangaza kdg ikabidi niangalie picha then nikaja kuangalia comment yako tena… bas nikajikuta naangua kicheko
 
Kwa alivyoitoa mkuu Dupe nilicomment kuwa watu watakuja mbio kuangalia nini refu ni naniliu au ni kitu gani and hapo wakutane na mjengo mrefu
 
Back
Top Bottom