RC Makonda kutimiza mwaka mmoja madarakani kesho

Nampa HONGERA sana kwa kazi nzuri.
Ila ushauri wangu kwake.
ASIKUBALI kuyumbishwa na CYBER BULLYING/ UUMIZWAJI wa KIMAWAZO wa KIMITANDAO.

Lazima ASIMAME kama MWANAMME na ASIJIBIZANE nao na wala KUTAJA lolote kuhusu yale yanayosemwa. Wish you the best!

Mwanamme husimama kujibu mashambulizi mkuu!
 
Back
Top Bottom