Rasmi Hezbollah yathibitisha kuuawa kwa kiongozi wao Hassan Nasrallah

kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
3,135
8,997
Ni rasmi ameuawa jana kwenye Makao makuu ya Hezbollah -Beirut kwa mashambulizi ya ndege za F35 ambapo eneo alilokuwemo lilipigwa na bomu la bunker lenye pound tani 2000.

Hassan Nasrallah ameongoza Hezbollah kwa miaka 32,kutoka mpiganaji wa mtaani mpaka kiongozi Mkuu.
 

Attachments

  • 20240925_230246.jpg
    102.5 KB · Views: 2
Allah Yarhamo Muislam kufa lazima awake akilini ni second, huyo ni Mwanaume tatizo la Israel anadhani kila akiuwa kiongozi wa Hezbullah ndio kashinda asubiri ambaye atakuja ni koboko kuliko Nasurlah.

Israel na US wana watu wao wameisha wanunua ndio wanawapa infomation.

Any way Nasurlah alikuwa hataki kuwauwa civilian wa Israel huyu anaye kuja je atakuwa kama Yeye.

Seif Din ni kiboka lakini wengine wanasema na yeye alikuwepo kwenye huo mkutano.
 
Ulisema hajafa 😂😂
 
Poleni nyingi sana ziwafikie shura ya masheikh walinazi wa JF
 
Huyu shetani Israel anaendeleza ushetani wake na umoja wa mataifa uko kimya.waarabu wachukue hatua wachangie kumpiga huyu facist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…