Rappers that have been influenced by Tupac

Oct 26, 2021
99
294
Rappers that have been influenced by Tupac:
Kendrick Lamar
Dax
Eminem
Kanye West
Siddhu Musewala
Drake
Nas
J. Cole
50 Cent
DMX
Nipsey Hussle
Freddie
Gibbs
Polo G
Meek Mill
The Game and more... Your favourite rappers’ favourite rapper.

313074795_569943344937799_1074599229731511679_n.jpg
 
Your favourite rappers’ favourite rapper.

Banza stone aliamua kujiita mwalimu wa walimu.

Malizia sentensi hii
Pac was....................
 
2pac alikua na muonekano fulaan hivi, anavutia na kushawishi kwa kweli.

Hayo mengine sitaki kujua, na hayanihusu.
Muonekano wake umesababisha wachumba kibao wamzimikie baadhi yao ni huyo hapo chini.

1)Lisa lopes aka left eye
2) Kidada jonas aliekuwa fiance wake
3) Madonna
Na wengine wengi ambao hawapo pichani
 

Attachments

  • images (16).jpeg
    images (16).jpeg
    7.4 KB · Views: 14
  • images (25).jpeg
    images (25).jpeg
    31.5 KB · Views: 14
  • images (28).jpeg
    images (28).jpeg
    19 KB · Views: 14
  • images (20).jpeg
    images (20).jpeg
    16.7 KB · Views: 13
  • images (33).jpeg
    images (33).jpeg
    30.1 KB · Views: 14
they are contemporaries! find me an article or a clip ambayo kasema amemu-influence?
Kumu influence mtu kuko kwa aina nyingi. Mfano kuiga kuimba, kuiga beat, kuiga aina ya uvaaji au kutembea, sauti na mengine mengi.

Sasa Nas alianza kumuiga Pac kwa baadhi ya mistari na beat kabla Pac hajafariki. Pac akamchana live na kumuonya kweny ule wimbo wake wa 'Against all odds' kama ushawahi kuusikia. Mashairi yenyew ambayo Pac kamchana Nas live hayo hapo 👇

🎶This little nigga named Nas thinks he live like me, talk bout he left hospital took five like me. You living fantasies nigga i reject your deposit🎶

Na sasa Nas akiwa kwenye show zake sometimes anatumia style ya Pac katika uvaaji. Picha hiyo hapo Nas akiwa jukwaa matupia kama Pac.

Pac ni kama maji kwa wana hip hop wakubwa wa Marekani. Ina maana kama haukuyanywa utayaoga au upikie.

Pac 4 life ✌
 

Attachments

  • images (32).jpeg
    images (32).jpeg
    17.1 KB · Views: 14
  • images (29).jpeg
    images (29).jpeg
    33.7 KB · Views: 13
Kumu influence mtu kuko kwa aina nyingi. Mfano kuiga kuimba, kuiga beat, kuiga aina ya uvaaji au kutembea, sauti na mengine mengi.

Sasa Nas alianza kumuiga Pac kwa baadhi ya mistari na beat kabla Pac hajafariki. Pac akamchana live na kumuonya kweny ule wimbo wake wa 'Against all odds' kama ushawahi kuusikia. Mashairi yenyew ambayo Pac kamchana Nas live hayo hapo

This little nigga named Nas thinks he live like me, talk bout he left hospital took five like me. You living fantasies nigga i reject your deposit

Na sasa Nas akiwa kwenye show zake sometimes anatumia style ya Pac katika uvaaji. Picha hiyo hapo Nas akiwa jukwaa matupia kama Pac.

Pac ni kama maji kwa wana hip hop wakubwa wa Marekani. Ina maana kama haukuyanywa utayaoga au upikie.

Pac 4 life
Mistari ipi Nas alimuiga Pac? Kuvaa T-shirt Nas is just paying homage to Pac kwa sababu kafa. Acheni kukuza mambo.
 
Back
Top Bottom