Rapper John Woka apata ajali ya kulipukiwa na gesi, yupo ICU Muhimbili

Mwenyezi Mungu awape wepesi wafiwa. Nilipenda staili yake ya uongeaji/rap katika nyimbo zake. Duniani tunapita.
 
Duh.......moja ya wasanii niliokuwa nawapenda. R.I.P John Walker
 
Dah aisee Poleni wafiwa na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi ....
Mimi nakunywa hela kutokana na pombe zangu aaaaa ninakunywa pombe kutokana na hela zangu
 
12728950_1436785056335908_7684240396242112615_n.jpg

R.I.P
 
Jamani nakiri kabisa nimeumia sana Moyoni! Poleni wazazi, Master J, Prof Rudigo, Marlon Linje (Baba George) Na wengineo wengi wa enzi zile pale Masaki Mj Records.
 
Hawa jamaa na wagosi wakaya ni best musicial of all the time
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom