Magufuli amesema wazee ndio walioiharibu hii nchi na ana mpango wa kuweka vijana zaidi kwenye serikali yake kwa kuwa hawapendi rushwa.
Raisi Magufuli amaonyesha kuchukizwa na rushwa na kusema kamwe hawezi kuwavumilia watu wanaotoa au kupokea rushwa, "Walifikiri nitakua part of them NEVER nitawashughulikia kweli kweli. Amesema hayo katika mkutano wake na Makandarasi.