Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Simamia ukweli na sio unafiki maana ukiuendekeza unafiki utakudumaza mkuu.ukisoma na kuzielewa post zangu hakika hutakuwa na ukakasi kwa lolote mimi si kada wala kamanda mkuu nasimamia uhalisia uliopo katika nchi yangu former tanganyika.Rais wa Awamu ya Nne alikuwa na msemo "changanya akili zako na zake, mbayuwayu huyoo!".
Endelea na ubabe wako kwenye keyboard na ID 'fake'. Fumbo mfumbie ...