Hakuna cha chozi huo ni mti mkavuNgoja tumalizie kutoa chozi kwenye " Twitter "
Tupe orodha kwa asilimia ya wale waliombeza JK na wale waliomsifia wakati akihudhuria misiba kipindi chake cha urais.
Umeona ndugu watanzania Mungu sijui tulimkosea nini(Kikwete na Taifa Linalotengeneza Misiba) hii ilikuwa 2013 huyu mdau jf anamsifu Jk kwa kuudhulia misiba ila anamlaumu tena kwa misiba hiyohiyo....
Hatujaanza leo kuwapangia viongozi wetu aina na maamuzi juu ya misiba.
Leo angeenda ungesikia hata akienda kura za wa arusha asitegemee.
Hapana Nyani Ngabu, Rais anatufanya tumkosee adabu hata wale tunaomuunga mkono, hili la misiba na majanga sitamuunga mkono kwa tabia yake mbovu ya kujifanya yuko busy wakati wa matatizo.Mimi nimejaribu kuonyesha tu jinsi ambavyo binadamu haturidhiki hata iweje.
Nina imani kabisa kuwa hata kama leo angeenda kwenye kuwaaga hao maiti bado tu wangekuwepo ambao wangemlaumu....
He is damned if he does and damned if he doesn't....
Anatafuta MAKIKIHii thread waiunganishe tu na nyingine maana unarudia wenzako walioandika
Swissme
Hapana Nyani Ngabu, Rais anatufanya tumkosee adabu hata wale tunaomuunga mkono, hili la misiba na majanga sitamuunga mkono kwa tabia yake mbovu ya kujifanya yuko busy wakati wa matatizo.
Umejaribu kuongea vizuri lakini cha msingi ni kwamba raisi lazima aguswe na matukio yanayochukua maisha ya watu wengi kwa pamoja kama majanga na ajali kubwa kama hii.
Suala kwenda kila msiba nalo ni kituko kama alivyokuwa akifanya mkwere.
Kumbuka hadi Kenya wameguswa na rais alidiriki kutuma wawakilishi lakini Rais wetu hajaguswa kihivyo kiasi cha kutuma uwakilishi wa makamu wa rais.
UFIKE WAKATI rais aonyeshe UPENDO kwa watu wake kwa vitendo.
Tuna rais mwenye roho ngumu zaidi ya mfanyakazi wa mochuari, inaumiza na inasikitisha.
Nyani Ngabu
Sijaelewa kosa la watanzania..
Kikwete alilaumiwa kwa kujali sana kusafiri na misiba ya nje..
au kuibuka kwenye msiba wa ndani wakati alikuwa kama hayupo kwenye
masuala yaliyokuwa gumzo yaliyohitaji kauli yake
Kikwete kupenda misiba na safari hakuhalalishi Magufuli kutokwenda msiba
wowote wa kitaifa..
Bora hajaenda angeweza kuropoka kwani ajali imeleta Serikali. Na usishangae kesho akaropoka.
Kama Wabunge ambao ni waadhirika wamsiba wameshindwa kupewa nafasi hata ya pole,halafu kesho wanasema Tanzania yetu sote.
Kikwete kupenda misiba na safari hakuhalalishi Magufuli kutokwenda msiba
wowote wa kitaifa..
Bora hajaenda....