Ni kweli huyu jamaa alipata kipindu pindu kwa sababu baada tu ya kumaliza urais alianza kufanya tour ya nchi nzima kuwashukuru wana nchi, sasa wana sema alipo kiwa Lousiana huko ndio alipata maambukizi ya cholera.
Lakini cha kushangaza ni kiwa hata Rais aliye mfuata ambaye ni Zachary Taylor alikufa kutokana na kipindupindu pia