Wakuu,
Ni mwendo wa kujisafisha sasa hivi na kujifanya mwema na mwenye huruma mpaka kieleweke.
=====
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi (Mb) Isimani amemkabidhi gari hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Bwn. Robert Masunya leo tarehe 24/11/2024 wakati wa ziara ya kikazi katika vijiji vya Kinyari Mbweleli, Makatapora, Mtera na Migoli.
Amefafanua kwamba Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kazi yake ni kuleta vitu na kujenga miundo mbinu kwa ajili ya kuhudumia wananchi wote hivyo hatuna budi kumshukuru na kumpongeza kwa kazi njema.
Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025