Rais Samia aitumie Simba Day kutuambia kwanini alisaini Mkataba mbovu wa Bandari

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,584
8,823
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.

Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma hadi kusaini mkataba mbovu namna ile wa kimangungo labda tutamwelewa.

Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023
 
Mm nafikiri vichwa vyawatu wanaopinga mpango waserekali ndio vibovu
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.

Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma hadi kusaini mkataba mbovu namna ile wa kimangungo labda tutamwelewa.

Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023

Bosi hakuna lingine unawaza zaidi ya mkataba wa bandari?

Huo mkataba usipokuwepo ww kama ww na family yako unaadhirika na nini au ukiwepo unaadhirika na nini?

Tuambie faida ambazo ulikuwa unapata wakati hakuna huu mkataba

Na ambazo utazikosa huu mkataba ukiwepo
 
Samia ameshindwa kutupa majibu ya kwanini walisaini ule mkataba wa hovyo wa bandari, sasa kwa kuthibitisha hilo, ameamua kutumia "cheap popularity" ili kutafuta "political sympathy" toka kwa watanganyika.

Huyu analazimisha kushangiliwa kwa sababu ya nafasi yake, na uwepo wake kwenye eneo husika, kisha wajinga wanataka wajidanganye yule msaliti ana support ya watanganyika.

Atambue, kuongoza nchi sio kutumia matamasha kutafuta sympathy, bali kuongoza nchi ni kutulia ofisini kutatua kero za wale unaowaongoza, sio kukimbia maswali yao, kisha unaibukia Simba Day!.

- Watanganyika hatuhitaji usanii kwenye mambo ya msingi, kama ofisi imemshinda ampishe mwingine.

Kwa jambo nyeti kama lile la bandari, kutuambia ametuzibia masikio, kisha anakuwa na muda wa kuhudhuria matamasha kama hayo, inaonesha dhahiri vile tulivyo na kiongozi empty, asiyejielewa, wala hajui anapoelekea wala kutupeleka kama taifa, hasara tupu.
 
Samia ameshindwa kutupa majibu ya kwanini walisaini ule mkataba wa hovyo wa bandari, sasa kwa kuthibitisha hilo, ameamua kutumia "cheap popularity" ili kutafuta "political sympathy" toka kwa watanganyika.

Huyu analazimisha kushangiliwa kwa sababu ya nafasi yake, na uwepo wake kwenye eneo husika, kisha wajinga wanataka wajidanganye yule msaliti ana support ya watanganyika, lakini amefeli kuturidhisha kwa majibu mazuri kwenye jambo nyeti linalogusa maslahi ya vizazi vya Tanganyika.

Mimi ni Simba damu damu lakini bado sijamwelewa anachotaka hasa.

Bandari hovyo, mafuta taharuki halafu kweli anakwenda Simba day kula bata!? Hee
 
Wewe Nani bwana mpaka upewe majibu?

Umeenda kuuliza ujajibiwa?

Tuambie umefanya Jambo gani la kutaka kujua details za mkataba na ujaambiwa
 
Mimi ni Simba damu damu lakini bado sijamwelewa anachotaka hasa.

Bandari hovyo, mafuta taharuki halafu kweli anakwenda Simba day kula bata!? Hee

Wewe ungekuwa rais ungefanya nini kwenye mafuta ?
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.

Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma hadi kusaini mkataba mbovu namna ile wa kimangungo labda tutamwelewa.

Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023
Tuna mwanasesere ,hatuna rais hapo
 
Samia ameshindwa kutupa majibu ya kwanini walisaini ule mkataba wa hovyo wa bandari, sasa kwa kuthibitisha hilo, ameamua kutumia "cheap popularity" ili kutafuta "political sympathy" toka kwa watanganyika.

Huyu analazimisha kushangiliwa kwa sababu ya nafasi yake, na uwepo wake kwenye eneo husika, kisha wajinga wanataka wajidanganye yule msaliti ana support ya watanganyika, lakini amefeli kuturidhisha kwa majibu mazuri kwenye jambo nyeti linalogusa maslahi ya vizazi vya Tanganyika.

Kwa jambo nyeti kama lile la bandari, kutuambia ametuzibia masikio, kisha anakuwa na muda wa kuhudhuria matamasha kama hayo, inaonesha dhahiri vile tulivyo na kiongozi empty, asiyejielewa, wala hajui anapoelekea wala kutupeleka kama taifa, hasara tupu.
iyo bandar inakusaidia nini wewe na familia yako?
 
Huyu Mama ana matatizo sana kuna mambo anatakiwa kuyasemea ili mioyo ya wananchi ipoe kakaa kimya yani kama sio dharau ni nini?
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.

Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma hadi kusaini mkataba mbovu namna ile wa kimangungo labda tutamwelewa.

Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023
Atapata udhuru atatuma mwakilishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongea na mwandishi wa hotuba za viongozi wa kitaifa, akikuelewa anaweza kuliingiza na hili unalolitaka.
 
Bandari ardhi na space zote za anga ni Mali za Watz wote,waliokuwepo,waliopo na watakaokuja kuzaliwa. Tunawaomba sana msigawe kwa mtu moja n wageni. Kama wamependa Bandari wapeni uraia wishing hapa
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.

Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma hadi kusaini mkataba mbovu namna ile wa kimangungo labda tutamwelewa.

Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023
MKUU NAOMBA UJIHESHIMU
 
Back
Top Bottom