...wewe bwege hebu tazama investment zinazofanywa na wachezaji wa Africa wanaocheza nje;Drogba amewajengea zahanati kwao ivory coast, wanatoa misaada kibao kwa nchi zao km vitabu vya shule,visima vya maji,wamejenga mahoteli kwny nchi zao,wameajiri raia wao wengi tu.
Nyie watu mmedumaa sn akili,ndio maana na maendeleo ya hii nchi yamedumaa pia,unadhani mpira ni kutoka jasho tu uwanjani,hujui vitu gani vinapatikana tukiwa na wachezaji wanaocheza nje.