Rais Magufuli na CCM hizi ndo salamu zenu kutoka Moshi

Status
Not open for further replies.
Ambaye huwa anaporwa kila uchaguzi na anaporwaje wakati anajua sasa ninaporwa.siamini
Usiamini ila ndivyo ilivyo, kaomba msamaha kwa kosa gani? Hata Shein nae kapora ila kwa kuwa hamtaki uchaguzi huru na haki haya ndio mnayosababisha, wizi wa kura na udanganyifu ndio leo anaomba radhi.
 
Ulikuja kwa mbwembwe nyakati za uchaguzi kuomba kura
Tukakunyima kura
Ulikuja kilimanjaro na utaiacha hivi hivi
CCM kupata kura za ushindi kilimanjaro hiyo ni ndoto za alinacha sahau
Hatuipa ccm kura maisha!
Hata ujenge viwanda milioni na ajira milioni moshi ccm haitoshinda abadani asilani
Hatujasahau maneno ya maige mtandao kwamba utawala wa ccm unapambana na wachaga kwa kuwa wamejazana sijui kwenye vitengo
Mbunge nzima anatamka kwamba mnapambana na wachaga.kwa kuwa wamejazana tra na crdb that is shame!
Ccm na moshi wapi na wapi
Tunakuahidi 2020 kutakua hakuna diwani hata mmoja wa ccm kilimanjaro
Na mzee ukumbuke sisi hatupewagi vitenge na kofia maana hatudanganyiki
Wala buku 5 coz hatuna njaa
Watu wa moshi wanajielewa mno huwa hatuhadaiwi na vitenge na kofia
Tutaendelea kuupigia upinzani kura za kutosha
Hatuwezi kuupa utawala wako kura au kuunga mkono kwasababu kuna dalili tosha kuwa unaelekea kwenye udikteta
Tanzania ni yetu sote. tuache ukabila na upendeleo wa kujenga chato tu wakati watanzania hawana dawa
Prepared by kimaro mushi
Moshi Tanzania
Kwani ni dhambi kwa wapinzani kuendelea kutawala kilimanjaro????
 
Salama km hizi pia zinatoka Mbeya na Songwe........................
 
Ahsante mkuu kwa kusaidia kufikisha ujumbe..huyo sio mtu wa huku...anataka kutuchongaisha na mkuu wa kaya yetu..
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu...moshi kama ilivyo sehemu nyingine za tz wapo wafuasi kindakindaki wa chama tawala na watu wengi sana wanaomuunga mkono mkuu wa kaya na serikali yake.ninaamini mkuu wa kaya mwenyewe na watu wake wa karibu wanalijua hilo.Kikubwa ni hisia hasi ambazo zimejengeka miongoni mwa chama dola na utawala kwa watu wote wanaotoka huku ni wapinzani jambo ambalo sio kweli..wapo wanao kiunga chama dola na serikali yake mkono sana..na wale ambao hawakiungi mkono wasionekane wakosaji hiyo ndio demokrasia..
Kwani upinzani ni dhambi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom