Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,706
- 149,945
Kinachotu-cost ni slow mental evolution process vinginevyo tungeshazindukaSasa nimeamini kwa kumbe hawatumbui majipu bali wanatumbua vipele majipu yameiva na mengine yamewaota wao wenyewe.
Mganga hajigangi je itakuwarahisi kujitumbua wao wenyewe?
Kinachotu-cost ni slow mental evolution process vinginevyo tungeshazinduka
Kikwazo ni dola na walioshika dola.people's power is more important than one man's show. but where is it?
Mkuu sisi wepesi sana kuhemuka na wepesi sana kusahau sijui tulilogwa?Kinachotu-cost ni slow mental evolution process vinginevyo tungeshazinduka
Jamani sio kila tatizo ulilonalo mwilini una uwezo nalo. Hebu umwa jino kisha uone kama utaweza kuling'oa bila kwenda kwa dentist!
Kwa mantiki hiyo mtumbua majipu kuna mengine mikono yake ni mifupi au hana nyenzo au yapo kwake mwenyewe.
Niliwahi sema humu kuwa mtumbuaji awe fair, sikueleweka. Ataanzia wapi kuigusa kiwira, mtibwa sugar, lamada, lugumi, homeshoping center, feri ya dar-bagamoyo, mabomba ya kusafirisha gesi, escrow na mingi mingine? Hii ni sawa na jino lililochimbika kinywani mwake? Ni hawezi kwa namna yoyote kugusa huko na ndipo unfair playing inakotamalaki.
kila cku time wl come, tulianzishe sasa....sio kujpa moyo tu.....(juct jokingWatanzania tumezidi upole, but time will come..
Mkuu Lizabon mtetezi wa wanyonge tunaomba mwongozo wako .CC: Lizaboni Simiyu Yetu Ritz Ruttashobolwa FaizaFoxy jingalao na wengine wenye akili/mindset kama za hawa.
wanatuangusha wenzetu wengi! kweli mkuu ipo siku lakini..kila cku time wl come, tulianzishe sasa....sio kujpa moyo tu.....(juct joking)
Chama cha Mapinduzi haina kambale kama chadema. Rais Mstaafu kaishafanyia kazi yale yaliyohitaji utekelezaji wake na yale yanayohitaji uchunguzi yapo kwenye vyombo husika.Nimesoma gazeti la Mwanahalisi la Jumatatu, April 25-Mei 1,2016 na kukutana na taarifa ya kusikitisha kuhusu sakata zima la Escrow na pia mwandishi amegusia juu ya maazimio ya Bunge kuhusiana na kashifa hii ya mabilioni ya shilingi.
Baadhi ya mambo ambayo Bunge lilitaka serikali kuyafanyia kazi ni pamoja na haya.
Bunge liliigiza serikali kufikisha mahakamani watuhumiwa wote wa Escrow,ikiwa ni pamoja na kufilisi mtambo wa IPTL na kuitangaza benki ya Stanbic kuwa taasisi ya kutakatisha fedha.
Bunge liliagiza pia kuchunguza na kuwajibisha majaji waliotajwa kunufaika na mgao wa fedha kupitia benki ya Mkombozi na kumfukuza nchini,anaejiita mmilki wa IPTL,Harbinder Sigh Seth.
Maoni ya Lissu kuhusu sakata hili alipohojiwa na mwandishi wa gazeti hili yamenukuliwa kama ifuatavyo:
"....hili liserikali lote limeoza.Kuanzia Ikulu,mfumo wa mahakama hadi viongozi wa madhehebu ya kidini;kote kumejaa rushwa."
Lissu ameongeza, "Tulisema ndani ya Bunge,kwamba majaji wamehongwa na hivyo tukataka wachunguzwe,lakini serikali ya CCM imegoma kwa kuwa walioiba waliwajua na walishirikiana nao."
Mwanasiasa huyo wa upinzani anasema,"utapeli huu ulifanywa na serikali ya Raisi Kikwete, BOT, Benki ya Stanbic na PAP."
Amesema,"......sasa kama kweli wanataka kusafisha nchi,basi waanzie hapo.Siyo kukimbizana na vidagaa.Waanze na maofisa wao wa Ikulu waliokuwa wameigeuza ofisi ya umma kuwa ofisi binafsi."
Kuna kambale zaidi ya wale walioingia na majina mfukoni kwenye kikao cha kamati kuu?Chama cha Mapinduzi haina kambale kama chadema. Rais Mstaafu kaishafanyia kazi yale yaliyohitaji utekelezaji wake na yale yanayohitaji uchunguzi yapo kwenye vyombo husika.
Yatakapoletwa toka kwenye vyombo husika utasikia tu na hautakawia kumuita mama kijo Bisimba au Ole Ngurumwa kuja kutoa matamko kuwa haki haikutendeka au katumbuwa huko mwenzie anaumwa
uko mbele mwezi mzima,punguza viroba mkuu.Nimesoma gazeti la Mwanahalisi la Jumatatu, April 25-Mei 1,2016 na kukutana na taarifa ya kusikitisha kuhusu sakata zima la Escrow na pia mwandishi amegusia juu ya maazimio ya Bunge kuhusiana na kashifa hii ya mabilioni ya shilingi.