Kaunga JF-Expert Member Nov 28, 2010 12,529 13,488 Apr 18, 2016 #63 Naona kuna movement ya kulisilimisha daraja la kigamboni na kuwa daraja la dau. Nilimshtukia Mudy Said naona Shabani naye kaendeleza.
Naona kuna movement ya kulisilimisha daraja la kigamboni na kuwa daraja la dau. Nilimshtukia Mudy Said naona Shabani naye kaendeleza.
Dereva wa Kirikuu JF-Expert Member Jul 10, 2015 751 624 Apr 18, 2016 #64 boniface salim said: na hzo flyover nazo zipo? Click to expand... Mkuu Mbona picha zimerahisisha kazii..
boniface salim said: na hzo flyover nazo zipo? Click to expand... Mkuu Mbona picha zimerahisisha kazii..
ZionGate JF-Expert Member Oct 17, 2012 6,355 2,976 Apr 18, 2016 #65 Kumbe Dau anadaraja ili jipu kweli
Bonny JF-Expert Member Feb 21, 2013 13,370 29,961 Apr 18, 2016 #66 Dereva wa Kirikuu said: Mkuu Mbona picha zimerahisisha kazii.. Click to expand... kwel wa daslam kama ulaya
Dereva wa Kirikuu said: Mkuu Mbona picha zimerahisisha kazii.. Click to expand... kwel wa daslam kama ulaya
Dereva wa Kirikuu JF-Expert Member Jul 10, 2015 751 624 Apr 18, 2016 #67 boniface salim said: kwel wa daslam kama ulaya Click to expand... Mkuu Embu pitia google earth upate kuona Njia za barabara kuingia na kutoka kigamboni kwa Kutumia Daraja Letu lakisasa..
boniface salim said: kwel wa daslam kama ulaya Click to expand... Mkuu Embu pitia google earth upate kuona Njia za barabara kuingia na kutoka kigamboni kwa Kutumia Daraja Letu lakisasa..