Rais Magufuli kuteua waziri wa mambo ya ndani kutoka nje ya CCM?

daah hilo la kuchagua wa chama kingne ni more than impocble mana nchi inaongozwa according to ilani ya chama tawala, sasa czani kama kuna mpinzani atakua tayari kwa hilo! na sidhani kama magu yupo tayar mtu afanye tofauti matarajio ya chama chake!
 
Nadhani umemjibu vizuri.
 
Humo CCmni hakuna kitu. Kumejaa majipu tu yanamkenulia meno!

Lakini naamini akienda nje kidogo ya prominent figures za ccm, nje ya wabunge na mawaziri ambao wengi ni mizigo tu anaweza kupata watu wazuri sana.

Tatizo mafisadi yamejazana karibu naye, hayana ushauri wowote unaovuka mzunguko wa yenyewe kwa maslahi binafsi, na yeye anakuw ablind kuwa anaangalia ndani ya mduara alionao ambao ndio umeifikisha nchi hii hapa tulipo!.
Nje wapi? Huko aliko Jambazi LOWASSA?
 
mkuu hilo halitawezekena ingawa nafikiri atakuwa anatamani watu fulanifulani nje ya chama chak awape nafasi kwa maslahi ya taifa
 
Mbona Shain kamteua Amad Rashidi kuwa waziri?
Kwani Hamad Rashid naye unamuweka katika kundi la viongozi wa upinzani?!

Huyo jamaa ni pure mwana-ccm aliyejivisha 'joho' la kiongozi wa chama cha upinzani.

Kwa maana nyingine ni kuwa huyo Mheshimiwa 'kimwili' yupo opposition lakini 'kiroho' yupo CCM..............

Kwa maana nyingine ni kuwa muda wote ambao yupo opposition, majukumu yake 100% anayafanya ya Sisiem kwa maelekezo ya 'mabosi' wake wa pale mtaa wa Lumumba na kule Kisiwandui...............................
 
mkuu hilo halitawezekena ingawa nafikiri atakuwa anatamani watu fulanifulani nje ya chama chak awape nafasi kwa maslahi ya taifa
Hilo litawezekana tu iwapo kiongozi huyo wa opposition ataamua 'kuusaliti' upinzani na kuamua kujivua uanachama toka chama cha upinzani na hivyo kukabidhiwa kadi ya CCM na hivyo ku-qualify kupewa ubunge wa viti maalum vya Rais na hivyo kujisafishia njia ya kuwa among new faces kwenye next cabinet ambalo linatarajiwa 'kutangazwa' very soon...............
 
nimekusoma vizuri mkuu, ila inaweza ikatokea sintofahamu kule chamani hasa kwa wale wakongwe ambao wana mda mrefu chamani, hao sidhani kama watamuelewa alicho kifanya.
 
Bahati mbaya zile nafasi zake za kuteuwa wabunge zinakaribia kwisha sijui zikiisha na wateule wanazidi kubolonga itakuwa vp.
 
View attachment 351122
Habari wanajamvi,

Tokea achukuwe madaraka, Rais Dkt J.P. Magufuli amaonyesha nia na dhamira kwa vitendo na kwamba serikalini hakutakuwa na 'business as usual'. Rais amtokea kuwa mtu asiyetabirika katika maamuzi yake na kuonyesha kuchikizwa wazi wazi na wazembe, wala rushwa, mafisadi n.k.

Rais katika 'utumbuaji' wake amewakumbusha watumishi wote wa umma kwamba uadilifu ni jambo muhimu mahali pa kazi, pia kadhihirisha haangalii muda gani amemteua kiongozi au muda gani ametumikia nafasi aliyopewa (mfano Kilango, Kitwanga), bali kinachoangaliwa ni utendaji kazi wake kwa taifa na kwa waTanzania kwa ujunla.

Rais ameoneshwa kuwa haendeshwi kwa siasa za vyama kwa kuangalia wanasiasa (wa chama tawala au upinzani) watasema nini na pia amekua akisema hii ni 'serikali ya Magufuli'. Kwa mantiki hiyo kuna kila uwezekano wa Rais kuteua Waziri wa Mambo ya Ndani kutoka nje ya mfumo wa CCM na hata kutoka upinzani. Mh. Rais anahitaji mtu wa kuendana na spidi yake na kwa maoni yangu mtu huyu kwa sasa hayupo ccm. Karibuni tujadili.
hahaaaa ndoto hiziiii..hiyo haipo jombaa
 
Back
Top Bottom