Nimekwambia hivi issue siyo WAKILI wakili haamui kesi wakili anatetea MTUHUMIWA au MSHTAKI muamuzi wa kesi ni HAKIMU.Tumia akili ndogo tu,nenda mahakamni leo uone kwanini serikali inashindwa.
1.HAKIMU kupokea rushwa/hongo
2.DPP kupokea RUSHWA/HONGO kuiondoa kesi mahakamani au kuandika kwa namna ambavyo haileti maana.Ona issue ya Mtoto wa Mbunge wa CCM aliyekutwa na nyara za serikali za milioni 138,amefanywa nini??Au wale waliopokea RUSHWA kesi yao imeondolewa na nani kama siyo DPP??
Kaka ukweli unauma...kaka kiooo hakidanganyi kama mbaya ni mbaya tu na kama umetokelezea umetokelezea.............usivunje kioo kisa unaonekana kama...................
Kesi huwa zinaanza kuvurugwa kuanzia Polis Ofisi ya DCI, then kwa DPP wale na State attorney Wana frame Kesi vibaya then Hakimu anakuwa na Kazi rahisi na salama ya kuhukumu kusaidia wahalifu!
Hii Michezo kuijua kunahitaji akili na uzoefu sio kichwa cha kufugia Nywele tu
Wewe ukisikia DPP akili yako inahamia kwa Mkurugenzi wa Mashtaka binafsi badala ya Ofisi
Kwani ukisikia DCI anapeleleza Kesi unadhani ni Robert Boas Mwenyewe? Ukisikia DPP kafuta Kesi usidhani ni Mkurugenzi Mwenyewe bila ya kushirikiana au kushauriwa na hao na state attorney.
Ukiwa unazungumzia Mazingira ya Rushwa lazima utoe akili yako kujadili theory na Practise ili uelewe