Kwa hali ilivyo sasa, kuna umuhimu wa kuwa na taasisi zaidi ya moja na zenye majukumu tofauti kwenye eneo la ushushu na kila taasisi iruhusiwe kupepesa macho kwa mwenzake na kurupoti mahali husika pale inapo gundua kuna hujuma.
Pia vyombo hivi vipewe mamlaka ya kupepesa macho kwa MTU yoyote hata Rais wa Jamhuri ya muungano na kurippti hatari kwa vyombo husika pale kunapokuwa na jambo lisilo sahihi.
Leo tunalia na mikataba, rushwa, ubafhilifu tc kwa sababu chombo chetu kimetekwa au kimewekewa mipaka ya kutochungulia baadhi ya mambo au kuyapuuza hata kama ni hatarishi kwa taifa...
Pia ujasusi wa nje hasa kwenye eneo la uchumi uongezewe nguvu na nyenzo has a technologia ..
Ajira za TISS zingewekwa wazi watu waombe kwa sifa zilizowekwa kama ilivyo kwa mashirika yaliyobobea kama MOSSAD, CIA. Wao wafanye vetting ya kutosha kwa wale watakaoona wanafaa, na iwe ni kwa field zote zinazomhusu binadamu. Huku nje hatujui huwa wanatumia vigezo gani kuajiri na kwa sifa zipi, ila niliwahi kudokezwa tu kwamba chama kubwa kikisema huyu sawa basi unaajiriwa, hebu kwa mfano wa bashite, kama kweli ni mtu wao, basi unaweza ona jinsi taasisi yetu hiyo ilivyo.Baada ya kuwekwa hadharani ripoti ya mchanga wa madini na kuonyesha namna Taifa lilivyokuwa linapoteza kiasi kikubwa cha mapato, ni wazi sasa kunahitajika umakini mkubwa kulinda rasilimali za nchi ziweze kuwafaidisha watanzania kwanza kabla ya mengineyo.
Inawezekana kulikuwa na ripoti za uvushaji huu kwa muda mrefu na hazikuwahi hata kuguswa na waliotangulia, lakini pia ninaona kuna unyonge kwenye taasisi yetu ya Usalama wa Taifa ambapo kisheria wanategemea vyombo vingine katika uchukuaji hatua kwenye mambo muhimu ya taifa. Kisheria Usalama wa Taifa wanaishia kukusanya taarifa na kuziwasilisha kwa waziri mwenye dhamana ambaye naye ana utashi wa kuamua ama kutoamua kuzipeleka kwenye maamuzi.
Hivyo inawezekana kabisa Wizara hiyo kushikwa na mtu ambaye hajui dhima na umuhimu wa Usalama wa Taifa hivyo kukawa na mwendelezo wa hovyo hovyo katika maamuzi.
Ni wakati sasa rais akaona umuhimu wa kuiboresha taasisi hii kwa kuipa nguvu hasa kuchukua hatua kwa maslahi ya Taifa pale inapobidi.
Viundwe vitengo vya kufanya tafiti kwa kila maamuzi ya kisera kwa Taifa.
Viundwe vitengo vya kushirikisha raia kusaidia taasisi kufanikisha oparesheni zake bila kuvunja sheria za nchi....
Kwa sasa naweka haya machache, kwani nimeona yana umuhimu sana kuzuia makosa kama haya ya kina Muhongo kushindwa kusimamia Wizara zao yasijirudie
TAKUKURU......Umeongea jambo la maana sana. Kuna wakati raia anawekwa kati na hajui pa kukimbilia kwakua tu hakuna njia rahisi ya kuwafikia hawa jamaa, anabaki na yake moyoni huku akiomba Mungu asaidie taifa lake...
UNDUGU unatumika katika kuajiriwa kwenye TISS sio kigezo za uwezo au elimu ya mtu njia nyengine wanayotumia mtu aliemo kwenye TISS anaweza kumpendekeza mtu fulani aajiriwe....Na ndio maana utaona hii taasisi ipoipo tuAjira za TISS zingewekwa wazi watu waombe kwa sifa zilizowekwa kama ilivyo kwa mashirika yaliyobobea kama MOSSAD, CIA. Wao wafanye vetting ya kutosha kwa wale watakaoona wanafaa, na iwe ni kwa field zote zinazomhusu binadamu. Huku nje hatujui huwa wanatumia vigezo gani kuajiri na kwa sifa zipi, ila niliwahi kudokezwa tu kwamba chama kubwa kikisema huyu sawa basi unaajiriwa, hebu kwa mfano wa bashite, kama kweli ni mtu wao, basi unaweza ona jinsi taasisi yetu hiyo ilivyo.
Baada ya kuwekwa hadharani ripoti ya mchanga wa madini na kuonyesha namna Taifa lilivyokuwa linapoteza kiasi kikubwa cha mapato, ni wazi sasa kunahitajika umakini mkubwa kulinda rasilimali za nchi ziweze kuwafaidisha watanzania kwanza kabla ya mengineyo.
Inawezekana kulikuwa na ripoti za uvushaji huu kwa muda mrefu na hazikuwahi hata kuguswa na waliotangulia, lakini pia ninaona kuna unyonge kwenye taasisi yetu ya Usalama wa Taifa ambapo kisheria wanategemea vyombo vingine katika uchukuaji hatua kwenye mambo muhimu ya taifa. Kisheria Usalama wa Taifa wanaishia kukusanya taarifa na kuziwasilisha kwa waziri mwenye dhamana ambaye naye ana utashi wa kuamua ama kutoamua kuzipeleka kwenye maamuzi.
Hivyo inawezekana kabisa Wizara hiyo kushikwa na mtu ambaye hajui dhima na umuhimu wa Usalama wa Taifa hivyo kukawa na mwendelezo wa hovyo hovyo katika maamuzi.
Ni wakati sasa rais akaona umuhimu wa kuiboresha taasisi hii kwa kuipa nguvu hasa kuchukua hatua kwa maslahi ya Taifa pale inapobidi.
Viundwe vitengo vya kufanya tafiti kwa kila maamuzi ya kisera kwa Taifa.
Viundwe vitengo vya kushirikisha raia kusaidia taasisi kufanikisha oparesheni zake bila kuvunja sheria za nchi....
Kwa sasa naweka haya machache, kwani nimeona yana umuhimu sana kuzuia makosa kama haya ya kina Muhongo kushindwa kusimamia Wizara zao yasijirudie
Baada ya kuwekwa hadharani ripoti ya mchanga wa madini na kuonyesha namna Taifa lilivyokuwa linapoteza kiasi kikubwa cha mapato, ni wazi sasa kunahitajika umakini mkubwa kulinda rasilimali za nchi ziweze kuwafaidisha watanzania kwanza kabla ya mengineyo.
Inawezekana kulikuwa na ripoti za uvushaji huu kwa muda mrefu na hazikuwahi hata kuguswa na waliotangulia, lakini pia ninaona kuna unyonge kwenye taasisi yetu ya Usalama wa Taifa ambapo kisheria wanategemea vyombo vingine katika uchukuaji hatua kwenye mambo muhimu ya taifa. Kisheria Usalama wa Taifa wanaishia kukusanya taarifa na kuziwasilisha kwa waziri mwenye dhamana ambaye naye ana utashi wa kuamua ama kutoamua kuzipeleka kwenye maamuzi.
Hivyo inawezekana kabisa Wizara hiyo kushikwa na mtu ambaye hajui dhima na umuhimu wa Usalama wa Taifa hivyo kukawa na mwendelezo wa hovyo hovyo katika maamuzi.
Ni wakati sasa rais akaona umuhimu wa kuiboresha taasisi hii kwa kuipa nguvu hasa kuchukua hatua kwa maslahi ya Taifa pale inapobidi.
Viundwe vitengo vya kufanya tafiti kwa kila maamuzi ya kisera kwa Taifa.
Viundwe vitengo vya kushirikisha raia kusaidia taasisi kufanikisha oparesheni zake bila kuvunja sheria za nchi....
Kwa sasa naweka haya machache, kwani nimeona yana umuhimu sana kuzuia makosa kama haya ya kina Muhongo kushindwa kusimamia Wizara zao yasijirudie
TISS wanafanya kazi yao vizuri kuliko hata mnavyodhani. Tatizo tulilokuwa nalo ni dhamira ya Kiongozi Mkuu wa Nchi. Tumuunge mkono Rais wetu na tuwe wamoja sisi kama Watanzania, Tanzania mpya inakuja![/QUOT
NO! TISS hawafanyi vzr kazi yao..makosa makosa mengi sana, kwny teuzi,uwekezaji, ukusanyaji taarifa nk..ukikuta DSO anayeweza kuandaa hata page 1 ya ripoti bs tungekuwa mbali sana kiuchumi na kijamii..tusingekuwa na maloloso haya!
NO! TISS hawafanyi vzr kazi yao..makosa makosa mengi sana, kwny teuzi,uwekezaji, ukusanyaji taarifa nk..ukikuta DSO anayeweza kuandaa hata page 1 ya ripoti bs tungekuwa mbali sana kiuchumi na kijamii..tusingekuwa na maloloso haya!TISS wanafanya kazi yao vizuri kuliko hata mnavyodhani. Tatizo tulilokuwa nalo ni dhamira ya Kiongozi Mkuu wa Nchi. Tumuunge mkono Rais wetu na tuwe wamoja sisi kama Watanzania, Tanzania mpya inakuja!