Rais Magufuli; Huu si muda tena wa sheria na demokrasia

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
11,495
24,212
Mh rais wangu mpendwa JPM, John Pombe Magufuli huu si muda tena wa sheria na demokrasia.Mh rais taifa limeshapotea kila mahali, maadili hamna tena, watu wema ni wachache sana, watanzania wanawaza wizi na maisha ya peponi bila jasho kwa kifupi taifa limeshapinda.

Mh rais ili mambo yakae sawa na kutimiza ndoto zako za kuwa baba wa taifa na kukumbukwa na kizazi hadi kizai huhitaji kutawala tena taifa hili kwa kufuata sheria, katiba na demokrasia, ubabe na ukatili ndio njia pekee ya kulikomboa taifa hili..Kuwatesa kwenye majela ya mateso ndio njia pekee ya kulikomboa taifa hili lililojaa wapumbavu.

Busara haziwezi tena kuongoza taifa hili.
 
Leo hii mwizi aliyelihujuma taifa na kulitia hasara eti anapelekwa mahakami na kupewa dhamana, vidonda na vifo alivyovisababisha kwa watanzania kwa kukosa huduma mbalimbali baada ya wizi wa hawa wapumbavu yatafidiwa vipi??
 
Aikoe walioizamisha ni Mani na je hao wazamishaji bado wapo au LA?, chi gani Ina mababa wa taifa wawili?
 
Leo hii mwizi aliyelihujuma taifa na kulitia hasara eti anapelekwa mahakami na kupewa dhamana, vidonda na vifo alivyovisababisha kwa watanzania kwa kukosa huduma mbalimbali baada ya wizi wa hawa wapumbavu yatafidiwa vipi??
Kwani ni wapi uthibitisho unatolewa kwamba mtu fulani amelihujumu taifa? Unachukuliaje iwapo askari anakuja kumchukua mke wako saa saba usiku kwa madai kwamba amehujumu mali ya umma, na wewe unaambiwa ubaki ndani mwako na usifuatilie anakopelekwa kwani sheria hazipo tena?
 
Ww utakua sio mtanzani sizan kama nchii hii ina mtu kiazi kama ww
Kiazi ni wewe ekyoma
Mtoa mada kaongea kiukweli
Nchi ishaoza hii kila sehemu wizi mpka kwenye dini sa unazan sehemu nyingine inakuaje
Matatizo yote hayo ukisema ufuate utawala wa sheria hatufiki popote tutaoneana aibu
Mambo ya mtu kakwepa kodi afu anaombwa kurudisha badala ya kupelekwa kwenye vyombo vya kutafsiriwa sheria km mahakama ni aibu kwa taifa maskin km hil
 
nchi hii haitaji rais dictator nchi hii inaitaji rais atakayeweza kufata sheria kama zilivyoandikwa kwenye makaratasi tuna sheria nzur mno tatizo hazifatwi
 
Kumbe una id nying ni nchi hii haitaji rais dictator nchi hii inaitaji rais atakayeweza kufata sheria kama zilivyoandikwa kwenye makaratasi tuna sheria nzur mno tatizo hazifatwi
Kwa mfano swala la rushwa na lilivo tapakaa hivo kila sehemu Unadhani ni njia gani ya kuondoa hilo donda sugu
Maana sa hata mahakama kule sheria inapindishwa ukiwa na pesa unalindwa
Bora ifike mahali tujue moja tu kubali tu udikteta
 
Ushauri wako ni mzuri kama ungewahusu haswa walio liingiza taifa kwenye hii kadhia na hii ingewezekana tu kama maoni ya wananchi kupitia tume ya katiba ya warioba yangepitishwa wala tusingekuwa tunashuhudia huu upuuzi
 
Tatizo watu wanachukulia kirahisi iwapo taifa litakapojitangaza rasmi kuwa sio la utawala wa sheria. Msifikiri watakaoumia ni hao tu mafisadi, hata wewe usiyejua hata pa kuanzia kuliibia taifa utaumia. Anaweza akaja mwenye nguvu zake akakubaka wewe au mkeo hadharani, akavaa chupi yake na kuanza kuondoka taratibu tu. Hakuna sheria inayomkataza kukuingilia kinguvu kwa kuwa nchi sio ya utawala wa kisheria. The constitution is dissolved, yeah, ndicho baadhi ya watu wanacholilia humu
 
Kwa mfano swala la rushwa na lilivo tapakaa hivo kila sehemu Unadhani ni njia gani ya kuondoa hilo donda sugu
Maana sa hata mahakama kule sheria inapindishwa ukiwa na pesa unalindwa
Bora ifike mahali tujue moja tu kubali tu udikteta
Nawalaani sana wajumbe wa bunge maalum la katiba chini ya mwenyekiti chenge kwa kuyazika maoni ya wananchi waliyotaka madaraka ya rais kupunguzwa
 
Pole, ni kwamba umekuwa na siku mbaya tu, usijali yatapita
 
Mkuu umeongea point. Sasa hivi huku maofisini vijana wanashindana kupiga. So sad. Inafika hatua mtu akifanya kazi kwenye idara ambayo ina mianya ya kujiingizia kipato na asipopiga jamii inamshambulia. Tulipofika ni pabaya. Huko serikalini ndo balaa. Maana kwenye matasisi binafsi wanaweza leta ata wageni kufanya kazi. Sasa kwenye serikali sio rahisi. Kila siku tanzania yangu maadili yanashuka siku hadi siku. Sijui watoto wanao zaliwa kipindi hiki wata rithi nin
 
Umekosa vitu viwili, fikra na hekima.
 
Watanzania ni wapumbavu au waoga?, ni waoga sana wakufa
wewe ndio mpumbaf na huogopi kufa kwa sababu huna hata mtoto wala familia. huna uchungu na chochote duniani hapa. kwa wewe kufa na kuishi ni sawa sawa tu. they have equal chances
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…