Rais Magufuli ashiriki kuaga Mwili wa Marehemu Christina Lissu katika ukumbi wa Karimjee

Mh Rais Kafanya Jambo Zuri Sana, Uo ndiyo Utanzania, siasa zisituondolee Undugu Wetu Jamani Nje ya Vyama sote ni Ndugu na Tunapendana Sana. Mungu Ibariki Nchi Yangu Tanzania na Kudumisha Undugu. BG Up Mh Rais.
 
RIP C. Lissu.
Baada ya hapo tadhalini akina dada acheni mikorogo na dawa za kubadili rangi za ngozi zenu. Bakini na uzuri mliopewa na mungu, someone loves you just the way you are.
Kuna mifano mingi watu wanaojichubua hawafikishi miaka 60.
 
Hakika Tanzania kwa kipindi hiki imempata kiongozi wa nchi ambae alikuwa akihitajika sana katka nchi ambayo umasikini wa wananchi unaongezeka na huku deni la taifa likiongezeka maradufu huku wachache wakinufaika kwa kujilimbikizia mali za ufisadi na walikua hawaguswi na wala kufanywa chochote na yoyote kwani hadi sasa kwa mujibu wa takwimu kila mtanzania anadaiwa tshs 900,000 (laki tisa) ila mwananchi wa kawaida ndie anayeumia zaidi na ugumu wa maisha.

Lakini Rais ameonesha kuguswa na hili kwa kuanza kubana mirija ya wizi wa fedha za serikali kwa kuwaondoa wafanyakazi hewa lakini kuondoa pia viongoz wote ambao walikuwa wala rushwa na kutotimiza majukumu yao ipasavyo. Hongera mh. Rais

Lakini jambo kubwa ambalo hata mm limezid kunivutia ni namna ambavyo huyu rais anavyo changamana na kushiriki shuguli za kijamii kama vile kuhudhuria misiba bila kubagua chama wala dini.Jana amediriki kukaa kiti kimoja na mh. Mbowe pamoja na Kubadilishana nae mawazo pale alipoenda kumfariji Tundu Lissu baada ya kufiwa na dada yake.

Tundu Lissu na Mbowe na upinzani kiujumla wamekuwa ni mwiba kwa serikali kama hiyo haitoshi walidiriki kutoka nje siku ambayo mh. Rais alipokuwa akihutubia bunge kwa mara ya kwanza. Licha ya hayo yooote mh. Rais bado anadhihirisha kuwa yeye ni Rais wa wananchi wote kwa matendo.

Hongera sana mh. Rais endelea kutupigania sisi wanyonge juzi juzi nimeanza kusikia hata taasisi nyeti za serikali nazo eti sasa zinatangaza ajira kitu ambacho hatukuzoea kukisikia kabla..

Mh. Rais, wewe ni mkombozi wetu pambana kwa maslahi ya wengi anaepinga Juhudi zako huyo ni mchawi wa watanzania.

HONGERA JPM......

1460561898121.jpg
1460561927371.jpg
 
Lowassa nasikia alisepa baada ya kusikia mpambana na ufisadi anaenda hapo. Ila siasa zingine bwana. Ina maana taarifa zake anazosema huwa anakuwa kwa ajili ya maslahi yake?

Kama angekuwa mkweli angebaki hapo. Mbona Sumaye alikaa mpaka mwisho.
 
Nimeona nitoe hii tahadhari mapema.

Anapokuwepo EL si rahisi kumkuta Tundu Lissu. Jana taifa limeuaga mwili wa Dada yake Tundu Lissu, ambae alikuwa mbunge viti maalum.

Kinachosikitisha EL hakutokea licha ya mbuge huyo kuwa dada yake Tundu Lissu na pia alikuwa mbunge viti maalum CHADEMA.

Hii si ishara njema, akufaae wakati wa dhiki ndiye rafiki.
 
Wao wanajuana sana, na walikwishakupeana taarifa. Tatizo, wewe umekurupuka humu pasipo kuhojiana na mmoja wao kati ya EL na Tundu Lissu, au ht maofisa wa ufipa pale wakupe taarifa kamili, acha uchokonozi wa kimbeya.
 
nimeona nitoe hii tahadhari mapema, anapokuwepo El, sii rahisi kumkuta Tundu lissu. Jana taifa limeuhaga mwili wa Dada take Tundu lissu, ambae alikuwa mbuge viti maalumu.
kinacho sikitisha licha ya mbuge Huyo kuwa Dada yake tundu Lissu pia alikuwa Mbuge viti maalum cdm mh. El hakutokea.
Hii si ishara njema, akufaae wakati wa dhiki ndie rafiki
" Taifa limeuhaga mwili ". Hiki kiswahi au kikongomani?
 
nimeona nitoe hii tahadhari mapema, anapokuwepo El, sii rahisi kumkuta Tundu lissu. Jana taifa limeuhaga mwili wa Dada take Tundu lissu, ambae alikuwa mbuge viti maalumu.
kinacho sikitisha licha ya mbuge Huyo kuwa Dada yake tundu Lissu pia alikuwa Mbuge viti maalum cdm mh. El hakutokea.
Hii si ishara njema, akufaae wakati wa dhiki ndie rafiki
Wewe unataka kujazia tuu thread boga Wewe
Tumia akili wacha kukalia ziiii wee
 
nimeona nitoe hii tahadhari mapema, anapokuwepo El, sii rahisi kumkuta Tundu lissu. Jana taifa limeuhaga mwili wa Dada take Tundu lissu, ambae alikuwa mbuge viti maalumu.
kinacho sikitisha licha ya mbuge Huyo kuwa Dada yake tundu Lissu pia alikuwa Mbuge viti maalum cdm mh. El hakutokea.
Hii si ishara njema, akufaae wakati wa dhiki ndie rafiki
Mswahili utamjua tu katika masuala ya msiba. Haendi kuomboleza hata siku moja ni Nani kaja na Fulani sijamuona, kafa kafaje na kazikwa na wangapi. Haya endeleeni, hiyo ndio culture na hulka yenu.

Magufuli asisahau Hapa Kazi Tu. Misiba ni mingi, sio lazima amzike kila mtu.
 
Mswahili utamjua tu katika masuala ya msiba. Haendi kuomboleza hata siku moja ni Nani kaja na Fulani sijamuona, kafa kafaje na kazikwa na wangapi. Haya endeleeni, hiyo ndio culture na hulka yenu.
aaaah, msela el, kakimbia kukutana na wadau wenye akili, oooh kwenye siasa hakuna adui wa kudumu. kinachoonesha kuto kuzikana ni huhasama
 
Back
Top Bottom