- Thread starter
- #21
Asante kwa maelezo mkemia mkuu! Yule mkemia mwenzako ni mkemia wa Korosho...
Nikueleweshana tu na kuutafuta ukweli ndugu yangu. Ili tupate habari iliyo sahihi badala ya kupotoshana kwa makusudi. Na kwabahati mbaya naona kama vile jamii imeanza kuwa na tabia ya kupenda uongo uongo na uzushi badala ya kuusaka ukweli unaotakika ktk suala husika.