Rais Magufuli akiri kuwa hakujiandaa kuwa Rais!

utadhani urais ni ndoa mpaka mtu afanye maandalizi. bavicha bwana.
 
Wewe kuandika tu ni majanga, utapata wapi uwezo wa kujenga hoja na kumkosoa Rais Magufuli?

Utafahamu vipi tamathali za usemi wakati hata kuandika ni majanga.

Hii dunia ya Tanzania kwa sasa ina vituko!

Ujinga umekuwa werevu na werevu wamekuwa wapumbavu!
_20170920_121118.JPG
_20170920_153411.JPG
_20170920_124453.JPG
IMG_20170921_075520.jpg
 
Nimesoma uzi huu nikakumbuka Tecno yangu ,na enzi najifunza kutaip! Ila nimesoma michango ya wadau walivyokejeli nimetabasamu ! Ama kweli uongozi wahitaji Maandalizi ..ni Miaka minne sasa! na Utabiri unatimia! :):):):)
 
Back
Top Bottom