Rais Magufuli ajadiliwa tena DW, kufungia magazeti mawili kunaweza kusababisha vikwazo nchini

Ila mi sijawahi kisikia nchi ikifungia magazeti inanyimwa misaada, sijui labda safari hii. Maana Mwanahalisi lilifungiwa wakati wa Kikwete na Tanzania ikaendelea kupata misaada Ulaya
Hizo habari za Tanzania kunyimwa misaada zinapendwa na kushabikiwa sana na wajinga fulani wa hapa nchini, wana dhani kupitia hizo taarifa serikari itaogopa na kurudi nyuma.
 
Lakini mwenzake anatumia akili_huyu Sizonje wetu ni full kukurupuka...naashindwa kuelewa sijui anatumia kinywaji gani.

Mkuu;
Punguza dharau kwa kiongozi wako. Hata kama amepotoka basi mwambie kwa lugha ya heshima. Kha! Mnabwatuka ka dimbwi. Simuungi mkono lakini siwezi mwambia kihivyo.
 
Naona mnatafuta pakuchomokea, mtaadhibiwa tu kama mnavunja sheria
After all mlishaonywa sana kuhusu uandishi wenu wa kichochezi na upotoshaji
IMG-20170113-WA0018.jpg
 
Sisi wenye akili walau kidogo tunasema, akiyamaliza magazeti, Redio,TV,wapinzani. Watakaofwata ni wananchi wa kawaida hivyo hakuna haja ya kumfurahia mtukufu kwa kudhani kuwa inawahusu wengine.
Kumbuka mtanzania zamu yako uko njiani, ukiona mwenzako ananyolewa nawe tia maji.
Lkn wasiofikiri vyema wataendelea kumsifia mkuru hata kwa hili LA kufungia magazeti.
Ole wenu ninyi siku yenu ikifika mtamlilia nani?
Mkuu umeongea vitu sensitive sana ,
 
Issue akiingilia Zitto ujue, imeishakuwa 'spoiled'; napata taabu sana kuamini 'hoja' zake.
 
Mteule mchezo huu hauhitaji hasira pili ujue mchezo n sawa na mbio za kupokezana vijiti je mwisho wako utakuaje we umeshindwa kuajiri umeshindwa kuongeza misharaha unahangaika na gazeti lenye kueleza kasoro za serikal huk watanzania wakikabiliwa na baa la njaa?
 
Kwenye taarifa ya habari ya DW ya jioni leo, rais Magufuli amejadiliwa kama kiongozi anayefuata mkondo mbaya sana kiuongozi. Aidha katika uchambuzi huo ambao ulijikita kwenye taarifa yake ya kuyaonya magazeti mawili, inaonyesha kuwa huenda Tanzania ikapelekea moja kwa moja kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Jumuiya ya Ulaya.

Aidha Jukwaa la wahariri tayari wamekutana kwa dharura na wameiarifu DW kuwa wanapanga kuchukua hatua kutokana na dalili mbaya zinazojionyesha dhidi ya vyombo vya habari nchini.

And DW stands for? Nimesoma kila bandiko sioni kirefu chake nikajaribu pia google huko nimepata sifuri
 
if your out of media your un informed if you make media as you reference you are mis informed.
 
Waache upumbafu hawajiulizi ni kwanini Donald Trump alikataa kujibu maswali ya Mwandishi wa Habari wa CNN? Kwa sababu wamekuwa wakiandika vitu ambavyo ni tofauti tu au habari ambazo hazina positive aspects ktk mikakati yake. Waache kutuvurugia nchi yetu. Hizo demokrasia zao ndio zimetufikisha hapa tulipo waafrika
Kwani nae amesema ataifungia CNN kama uyo ndugu yako
 
Hizo habari za Tanzania kunyimwa misaada zinapendwa na kushabikiwa sana na wajinga fulani wa hapa nchini, wana dhani kupitia hizo taarifa serikari itaogopa na kurudi nyuma.
Serikali tayari inalialia na msaada. Budget deficit ipo obvious. Anyway, nchi nyingi zilizoendelea hakuna kuminywa Uhuru wa vyombo vya habari. Hivi Nape na wasimamizi wengine hawaoni hadi yeye aingilie? Hakuna independence tena.
Kitakachofuata ni kufungiwa tu maana watu wanaogopa kutumbuliwa wenyewe.
Hatutaki vizazi vyetu vijutie nchi yao.
 
Back
Top Bottom