Rais Magufuli afufua ari ya wafanyakazi nchini

Dr.Godman

Member
Jan 14, 2016
5
4
Tarehe 1 may mwaka huu,ni siku ambayo wafanyakazi wengi nchini hawatajutia kutenga muda wao kumsikiliza Rais wa TZ,kwani kuna mengi wamefaidika,kati ya yote ambayo Magufuri aliyaongea leo,jambo moja liliamusha shangwe na nderemo ktk uwanja wa jamhuri mjini DODOMA ni pale rais aliposhusha kiwango cha kodi ktk mshahara(Pay As You Earn,PAYE) ktoka 11% ad 9%,sanjari na hayo pia ameunda board 2 zitakazoshughurikia maslahi ya wafanyakazi nchini likiwemo suala la kupanga kima cha chini cha mshahara,Awali akisoma risala mbele ya mgeni rasm(magufuri),katbu wa TUCTA alipendekeza kima cha chini kiwe laki saba,jambo lililofurahisha pia ni bango moja lililokuwa limeandikwa "rais mwalimu ,mama mwalimu,waziri mkuu mwalimu,mama mwalimu,awamu hii walimu tusiponemeeka hatutaeemeka milele.HAPA KAZI TU
 
Mkuu waweza kutusaidia kwa kufafanua zaidi hilo punguzo la 2% ni sawa na shs ngapi kwa hao wa kima cha chini?
 
Politics, siasa ni propaganda- sijapata maana na dhana halisi ya neno propaganda, nipo chimbo, nikipata majibu nitarudi
 
Magufuli aliahidi kwenye kampeni hili swala la kodi.
Ccm ni chama la vitendo.
Ahadi zinatimizwa
PAYE from 11% to 9%.
Siyo kama chadema wanaahidi watateua mgombea mwadilifu alafu wanakuja kuchukua makapi ya ccm yenye tuhuma za ufisadi.!!!
 
Hahaha CCM imeanza kushika madaraka mwaka jana...
 
Magufuli aliahidi kwenye kampeni hili swala la kodi.
Ccm ni chama la vitendo.
Ahadi zinatimizwa
PAYE from 11% to 9%.
Siyo kama chadema wanaahidi watateua mgombea mwadilifu alafu wanakuja kuchukua makapi ya ccm yenye tuhuma za ufisadi.!!!

Acha ukilaza wewe! Asilimia 2% hakuna ongezeko la mshahara ndio nini? Hapa aheri hata JK
 
Kwa mtu anayelipwa milion 1 ukisema umempunguzia 2% ni sawa na sh 20,000/=tuu sasa kwa wanalipwa laki 600000 watakuwa wamepunguziwa elfu kum na kitu......siasa bana yale yale ya tanesco....
 
Magufuli aliahidi kwenye kampeni hili swala la kodi.
Ccm ni chama la vitendo.
Ahadi zinatimizwa
PAYE from 11% to 9%.
Siyo kama chadema wanaahidi watateua mgombea mwadilifu alafu wanakuja kuchukua makapi ya ccm yenye tuhuma za ufisadi.!!!

Siasa imekuharibu ubongo mpaka ukilala,ukiamka unawawaza Chadema, bwana ako utamuwaza muda gani
 
Pole sana Dada ,kama mimba inakusumbua nenda kwa Msigwa anagawa ndimu bure

Naona toka utoke Y2K umeamua uje ulegeze kiuno huku na ukimsikia Lowasa na Chadema unaloa kabisa..Dada MwasiTI moja toka kigomo ujiji punguza wivu wa kike
 
Magufuli aliahidi kwenye kampeni hili swala la kodi.
Ccm ni chama la vitendo.
Ahadi zinatimizwa
PAYE from 11% to 9%.
Siyo kama chadema wanaahidi watateua mgombea mwadilifu alafu wanakuja kuchukua makapi ya ccm yenye tuhuma za ufisadi.!!!

mbona watu wanadai tena ni; 12% na wanaonyesha slip
 
zoeca said:
mbona watu wanadai tena ni; 12% na wanaonyesha slip
Serikali "ukinunua dai risiti" haitoi hati za mishahara - risiti.
Je aliyeandika hii thread yupo tayari kuitetea kabla ya Mei mosi?
 
Magufuli aliahidi kwenye kampeni hili swala la kodi.
Ccm ni chama la vitendo.
Ahadi zinatimizwa
PAYE from 11% to 9%.
Siyo kama chadema wanaahidi watateua mgombea mwadilifu alafu wanakuja kuchukua makapi ya ccm yenye tuhuma za ufisadi.!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…