Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

mtu yeyote anaetete uozo unaofanywa nchi hii kwa kujifanya ana taarifa za ndani kuliko Rais na TISS namuona bogus tu....
uyo Kairuki huitaji kua na degree ya Fine and Performing Arts (FPA) kugundua kua ametumbuliwa kwa zaidi ya ishu iyo ya mshahara.
shenzy
 
Sitaki kuamini kama mama huyu hajaitwa kuhojiwa kabla ya kuachishwa kazi,
kama itakuwa hajapewa muda wa kusikilizwa basi nchi haiko sawa
 
Hii awamu ya 4 ni jipu. ku review mshahara kwa mtu miaka 3 na kazi haijakamilika hadi leo? Kuna tofauti gani na zile dawa za msd toka keko hadi muhimbili hazijafika leo mwaka wa 4! Halafu utafanyaje kazi miaka 3 bila maelewana ya mshahara. Interesting....
 
Hvi watu wa posho mingi kama hii wanaweza dai nyongeza za mishahara?
Daaah kada za chini hali yetu ni mbaya sana!!
 
JK ndiye aliyemkuta SA akamuomba arudi nchini kuja kusaidia pale TIC baada ya Ole Naiko kustaafu. Kabla hajaja wakaset T&C kuwa her salary wont go bellow 18M Tzs.

Hapo naona shida ile ya Jk kuwa angani muda wote madhara yake ndiyo haya!
Kama kweli alikuwa ameahidi hiyo 18Ml dada wa watu na akaacha $15,000/= Busara na uungwana anastahili kulipwa lakini so far naye hakuwa mfuatiliaji tayari amepoteza hiyo credibility ya kuipata na bahati mbaya yawezekana walizungumza chombingo na aliyekuwa Prezedaa inakuwa ngumu kuitekeleza!
 
Rais alishasema anataka watu waishi kama mashetani, sasa tusishangae kuendelea kuwafukuza watu kazi bila kuwapeleka mahakamni, Magufuli baad ya kuwa mbunge zaidi ya miaka 20 amekula pensheni za ubunge awamu 4, amapiga dili za kutosha yeye kajilimbikizia sasa anataka yeye ndio awe anaishi vyema kuliko wengine, sikuwahi kumsikia Magufuli bungeni akipinga posho, pensheni kubwa wapewayo wabunge wala kiinua mgongo kikubwa vile baada ya kazi ya miaka 5 tu, ajabu uzalendo kaujua baada ya kuingia ikulu.
 
NASEMA DADA WALA HAJAONEWA.MSIPENDE KUTAKA KILA KITU KIWE WAZI ILI KUTAKA KUMDHALILISHA.TUNAJUA KILICHOKUWA KIKIENDELEA JUU YA WAWEKEZAJI FULANI.MFANO KWANINI KAMPUNI YE ECO ENERGY ILIPOPEWA SHAMBA KULIMA SUKARI BAGAMOYO IMEPITA MIAKA 10 HAKUNA KINACHOFANYIKA NA TIC IKIWEPO??

KUWENI MAKANI KWANI RAIS AKIANIKA KILA KITU WATU WATADHALILIKA.KUMBUKA WENGINE WANAWATOTO NA FAMILIA ZINAZOHESHIMIKA NCHINI
Lakini sababu ya kutenguliwa kwake imetolewa na hiyo ya ECO haipo kwenye list.
 
Habari wanaJF,

Kufuatia kuteguliwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini (TIC), Bi. Juliet Kairuki taarifa za ndani zinasema bibie huyu kaonewa kwa sababu zilizoainishwa katika nukuzi ya taarifa hapa chini.

"Huyu Julieth ni mke wa Dr.Kairuki Mkurugenzi wa Mikocheni Hospital. Kabla ya kuja Tanzania alikua anafanya kazi South Afrika akilipwa mshahara wa USD 15,000. JK ndiye aliyemkuta SA akamuomba arudi nchini kuja kusaidia pale TIC baada ya Ole Naiko kustaafu. Kabla hajaja wakaset T&C kuwa her salary wont go bellow 18M Tzs.

Ikumbukwe SA alikua akilipwa 15K USD equals to 35M Tzs. Kwahiyo kukubali kulipwa 18M ni kukubali kusucrifice 17M kitu ambacho si rahisi kwa watu wengi. Lakini she did that for the sake of her country. But alipofika nchini TIC wakamwambia hawana scale ya 18M, wakataka kumlipa 5M. Huyu mama akakataa. She cant be that cheap kutoka mshahara wa 35M kule SA hadi 5M? Akamwomba JK arudi SA kuendelea na kazi yake, lakini JK akaagiza TIC wafanye salary review ili kuweza kuaccomodate madai yake. Kipindi chote hicho alikua hapokei mshahara b'se alikua hajafikia concesus na serikali. Sasa kabla TIC hawajakamilisha salary review ndio JPM akawa ametake power. Akawa anadiscourage mishahara mikubwa kwa wakuu wa mashirika ya umma.

TIC wakaogopa kuendelea na review ya Kairuki. Katika ufuatiliaji JPM akaambiwa kuna Mkurugenzi hajapokea mshahara tangu 2013. Lakini informers wake they didnt nail the whole story. Wao wakamwambia tu amekataa mshahara aliopangiwa anataka mkubwa zaidi na marupurupu makubwa. JPM akahamaki na kutengua uteuzi without knowing the truth. Hapa JPM kafanya kosa lakini simlaumu yeye, nalaumu informers wake. Basing on the facts provided huyu mama kaonewa sana and worse enough JPM hakumuita kumsikiliza. He just made decision basing from his informers.

This is typical injustice b'se principles of natural justice were abandoned. Ni bora JK angemruhusu arudi SA kuendelea na kazi yake"

Karibuni wadau.

Kama ningekuwa ni Lecturer halafu nimekupa Assignment na ukaja na majibu kama haya ningekupa 0.1%. Halafu ni bora hata usingetuwekea na hayo mengineyo kwani kwa tunaojua KUFIKIRI KISAWASAWA kama huyo Dada angekuwa anajiamini na kweli ni MWELEDI asingethubutu kuja kufanya Kazi huku Tanzania huku akijua fika kuwa Mshahara wake utakuwa ni that amount. Halafu kusema kuwa alikubali kufanya Kazi kwa Mshahara huo ili kuonyesha UZALENDO wake kwa Tanzania ni HOJA nyepesi sana na MFU pia. Hufanyi Kazi kwa ajili ya UZALENDO na kama ni Kazi za UZALENDO zipo na zinajulikana.

Mwisho acha kutufanya sisi Watoto wadogo kwani kwa tunaomjua Vasco Da Gama huyo Bidada yawezekana alikuwa ni mboga yake ya fasta fasta na kuna uwezekano hata hizo Hela kweli alikuwa hapewi lakini huku kwa Vasco Da Gama alikuwa anapewa usikute hata zaidi ya huo mshahara wa TIC.

Hivi kwa AKILI tu ya kawaida kuna Mtanzania anayeweza kufanya kazi au kuwepo Ofisi fulani tena kubwa halafu akatae MSHAHARA? Kwa tunaoijua nchi hii in and out huyo Dada kuna mahala ambapo alikuwa anafaidika napo tena kwa kutumia mgongo wa Vasco Da Gama na UZI wako huu uliodhani kuwa utauanzisha ili kumtafutia sympathy kwa public basi nikuhakikishie ndiyo kwanza umeuwasha moto kwani Wapo watu wanaomjua pengine kuliko hata anavyojijua yeye au unavyomjua Wewe na sasa wataanza " kutiririka " hivyo Wewe na yeye muwe WAVUMILIVU kwakuwa mmeyataka wenyewe.

Halafu kama una uungwana jaribu kuwaomba radhi hao unaowaita " informers " wa Rais kwa kuwaambia kuwa WALIKURUPUKA na kumpelekea Bosi wao Mheshimiwa Rais UMBEA kwani umeshindwa kujua kuwa hata wao TAARIFA zao huwa ZINACHUJWA vilivyo kwa UMAKINI wake ili zisije kuleta MADHARA yoyote pindi Bosi wao Mheshimiwa Rais atakapolizungumza au kulitolea UFAFANUZI hivyo maneno uliyoyasema dhidi yao ni DHIHAKA kubwa kwao na KUWADHARAU pia.

Siku nyingine ukija na UZI wa tukio la aia hii uapoandika jaribu sana kuwa objective na siyo subjective. Naomba niishie hapa tafadhali!
 
kingine kwa nn baada ya kuona siku zinaenda na madai yake hayatatuliwi hakuchukua hatua??au baada ya kukalia kiti alikuta kumbe anaweza tengeneza mara 100 ya 5M kwa mwezi akaamua kuipotezea hyo 5M ya uhalali wakati nyuma ya pazia anatengeneza ndefu zaidi...jamani tusifanyane wajinga hapa...miaka miwili unaishi bila mshahara wala marupurupu uliyodai kwa mwajiri wako???eti uchungu na nchi yake...Aaaagrrrrrrr...these shits happen only in Tanzania..

Ebu pima IPP media wakuajiri namshindwe kukubaliana mshahara hivi hata wiki utaipata kukaa Ofisini?
Ni mwajiri wa aina gani?
 
Habari wanaJF,

Kufuatia kuteguliwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini (TIC), Bi. Juliet Kairuki taarifa za ndani zinasema bibie huyu kaonewa kwa sababu zilizoainishwa katika nukuzi ya taarifa hapa chini.

"Huyu Julieth ni mke wa Dr.Kairuki Mkurugenzi wa Mikocheni Hospital. Kabla ya kuja Tanzania alikua anafanya kazi South Afrika akilipwa mshahara wa USD 15,000. JK ndiye aliyemkuta SA akamuomba arudi nchini kuja kusaidia pale TIC baada ya Ole Naiko kustaafu. Kabla hajaja wakaset T&C kuwa her salary wont go bellow 18M Tzs.

Ikumbukwe SA alikua akilipwa 15K USD equals to 35M Tzs. Kwahiyo kukubali kulipwa 18M ni kukubali kusucrifice 17M kitu ambacho si rahisi kwa watu wengi. Lakini she did that for the sake of her country. But alipofika nchini TIC wakamwambia hawana scale ya 18M, wakataka kumlipa 5M. Huyu mama akakataa. She cant be that cheap kutoka mshahara wa 35M kule SA hadi 5M? Akamwomba JK arudi SA kuendelea na kazi yake, lakini JK akaagiza TIC wafanye salary review ili kuweza kuaccomodate madai yake. Kipindi chote hicho alikua hapokei mshahara b'se alikua hajafikia concesus na serikali. Sasa kabla TIC hawajakamilisha salary review ndio JPM akawa ametake power. Akawa anadiscourage mishahara mikubwa kwa wakuu wa mashirika ya umma.

TIC wakaogopa kuendelea na review ya Kairuki. Katika ufuatiliaji JPM akaambiwa kuna Mkurugenzi hajapokea mshahara tangu 2013. Lakini informers wake they didnt nail the whole story. Wao wakamwambia tu amekataa mshahara aliopangiwa anataka mkubwa zaidi na marupurupu makubwa. JPM akahamaki na kutengua uteuzi without knowing the truth. Hapa JPM kafanya kosa lakini simlaumu yeye, nalaumu informers wake. Basing on the facts provided huyu mama kaonewa sana and worse enough JPM hakumuita kumsikiliza. He just made decision basing from his informers.

This is typical injustice b'se principles of natural justice were abandoned. Ni bora JK angemruhusu arudi SA kuendelea na kazi yake"

Karibuni wadau.
Salary review ifanyike kwa sababu ya mtu mmoja? what a shame.
Kuna zaidi ya waTz milioni 45 wenye uwezo wa kufanya kazi hiyo anayoifanya kwa mshahara uleule wa 5 milioni.
Waliomleta TIC ili alipwe hizo milioni 18 ulizosema hawakufikiri vema.
Kubadilisha skeli ya mshahara ku accommodate mtu mmoja ni sawa na tusi kwa watakaoendelea kupokea milioni 5.
 
Mtoa maada inaonekana unamjua zaid uyu mama,ni kazi gani south Africa alikuwa anafanya hadi kulipwa 15,000 USD..mpaka sas amefanya lipi TIC la maana astahili kulipwa mshahara huo TZ..umesoma report ya CAG,ebu kaipitie na wew alaf uje kusema kama anasatahili kulipwa mshahara huoo...
 
Katika fukuza fukuza hii kuna mambo mengi..ila watu wengi wanafurahia hili jambo mimi naamini kuna watu wanaumia sana na hili jambo la timua timua nadhani watu wajue hii kwasasa ipo kwa kila mtu au familia kadhaa zitaumia au kuguswa na timua timua watu wasifurahie sana...wito wangu haki itendeke...kama kweli mtu anakosa aadhibiwe kwa stahili hiyo ushahidi ukipatikana..
 
NASEMA DADA WALA HAJAONEWA.MSIPENDE KUTAKA KILA KITU KIWE WAZI ILI KUTAKA KUMDHALILISHA.TUNAJUA KILICHOKUWA KIKIENDELEA JUU YA WAWEKEZAJI FULANI.MFANO KWANINI KAMPUNI YE ECO ENERGY ILIPOPEWA SHAMBA KULIMA SUKARI BAGAMOYO IMEPITA MIAKA 10 HAKUNA KINACHOFANYIKA NA TIC IKIWEPO??

KUWENI MAKANI KWANI RAIS AKIANIKA KILA KITU WATU WATADHALILIKA.KUMBUKA WENGINE WANAWATOTO NA FAMILIA ZINAZOHESHIMIKA NCHINI
Kwa nini sababu iliyoainishwa ni ya kutochukua mshahara badala ya hizo za kiutendaji?
Mbona wengine wanatumbuliwa na tunaambiwa sababu ni 1,2,3,...!?
 
Habari wanaJF,

Kufuatia kuteguliwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini (TIC), Bi. Juliet Kairuki taarifa za ndani zinasema bibie huyu kaonewa kwa sababu zilizoainishwa katika nukuzi ya taarifa hapa chini.

"Huyu Julieth ni mke wa Dr.Kairuki Mkurugenzi wa Mikocheni Hospital. Kabla ya kuja Tanzania alikua anafanya kazi South Afrika akilipwa mshahara wa USD 15,000. JK ndiye aliyemkuta SA akamuomba arudi nchini kuja kusaidia pale TIC baada ya Ole Naiko kustaafu. Kabla hajaja wakaset T&C kuwa her salary wont go bellow 18M Tzs.

Ikumbukwe SA alikua akilipwa 15K USD equals to 35M Tzs. Kwahiyo kukubali kulipwa 18M ni kukubali kusucrifice 17M kitu ambacho si rahisi kwa watu wengi. Lakini she did that for the sake of her country. But alipofika nchini TIC wakamwambia hawana scale ya 18M, wakataka kumlipa 5M. Huyu mama akakataa. She cant be that cheap kutoka mshahara wa 35M kule SA hadi 5M? Akamwomba JK arudi SA kuendelea na kazi yake, lakini JK akaagiza TIC wafanye salary review ili kuweza kuaccomodate madai yake. Kipindi chote hicho alikua hapokei mshahara b'se alikua hajafikia concesus na serikali. Sasa kabla TIC hawajakamilisha salary review ndio JPM akawa ametake power. Akawa anadiscourage mishahara mikubwa kwa wakuu wa mashirika ya umma.

TIC wakaogopa kuendelea na review ya Kairuki. Katika ufuatiliaji JPM akaambiwa kuna Mkurugenzi hajapokea mshahara tangu 2013. Lakini informers wake they didnt nail the whole story. Wao wakamwambia tu amekataa mshahara aliopangiwa anataka mkubwa zaidi na marupurupu makubwa. JPM akahamaki na kutengua uteuzi without knowing the truth. Hapa JPM kafanya kosa lakini simlaumu yeye, nalaumu informers wake. Basing on the facts provided huyu mama kaonewa sana and worse enough JPM hakumuita kumsikiliza. He just made decision basing from his informers.

This is typical injustice b'se principles of natural justice were abandoned. Ni bora JK angemruhusu arudi SA kuendelea na kazi yake"

Karibuni wadau.

Maswali rahisi tu, je amekaa bila kupokea mshahara kwa muda gani?
Mkataba wake alisaini vipi bila kukubaliana mshahara?
 
Hiyo Review ingeendelea kwa muda gani? tangu 2013 ilikuwa haijamalizika leo unasema watu wameogopa kuendelea nayo kwa kumuogopa magufuli, JPM amereact correctly as head of state kumaliza hilo tatizo, JK alikuwa analemba bila sababu, wapo watu wengi tu wanaweza kuongoza TIC kama mshahara haukumtosha akae pembeni, aliyekubaliana naye hayuko tena na alishindwa kushughulikia suala hilo. Asante kwa maelezo mazuri lakini hayana uhusiano na uamuzi wa JPM
 
Kama ningekuwa ni Lecturer halafu nimekupa Assignment na ukaja na majibu kama haya ningekupa 0.1%. Halafu ni bora hata usingetuwekea na hayo mengineyo kwani kwa tunaojua KUFIKIRI KISAWASAWA kama huyo Dada angekuwa anajiamini na kweli ni MWELEDI asingethubutu kuja kufanya Kazi huku Tanzania huku akijua fika kuwa Mshahara wake utakuwa ni that amount. Halafu kusema kuwa alikubali kufanya Kazi kwa Mshahara huo ili kuonyesha UZALENDO wake kwa Tanzania ni HOJA nyepesi sana na MFU pia. Hufanyi Kazi kwa ajili ya UZALENDO na kama ni Kazi za UZALENDO zipo na zinajulikana.

Mwisho acha kutufanya sisi Watoto wadogo kwani kwa tunaomjua Vasco Da Gama huyo Bidada yawezekana alikuwa ni mboga yake ya fasta fasta na kuna uwezekano hata hizo Hela kweli alikuwa hapewi lakini huku kwa Vasco Da Gama alikuwa anapewa usikute hata zaidi ya huo mshahara wa TIC.

Hivi kwa AKILI tu ya kawaida kuna Mtanzania anayeweza kufanya kazi au kuwepo Ofisi fulani tena kubwa halafu akatae MSHAHARA? Kwa tunaoijua nchi hii in and out huyo Dada kuna mahala ambapo alikuwa anafaidika napo tena kwa kutumia mgongo wa Vasco Da Gama na UZI wako huu uliodhani kuwa utauanzisha ili kumtafutia sympathy kwa public basi nikuhakikishie ndiyo kwanza umeuwasha moto kwani Wapo watu wanaomjua pengine kuliko hata anavyojijua yeye au unavyomjua Wewe na sasa wataanza " kutiririka " hivyo Wewe na yeye muwe WAVUMILIVU kwakuwa mmeyataka wenyewe.

Halafu kama una uungwana jaribu kuwaomba radhi hao unaowaita " informers " wa Rais kwa kuwaambia kuwa WALIKURUPUKA na kumpelekea Bosi wao Mheshimiwa Rais UMBEA kwani umeshindwa kujua kuwa hata wao TAARIFA zao huwa ZINACHUJWA vilivyo kwa UMAKINI wake ili visije kuleta MADHARA yoyote pindi Bosi wao Mheshimiwa Rais atakapolizungumza au kulitolea UFAFANUZI hivyo maneno uliyoyasema dhidi yao ni DHIHAKA kubwa kwao na KUWADHARAU pia.

Siku nyingine ukija na UZI wa tukio la aia hii uapoandika jaribu sana kuwa objective na siyo subjective. Naomba niishie hapa tafadhali!

This is a quote, so if you have more details about the SAGA i think you suppose to edify us.
 
Kama ndiyo style ya uongozi wa JPM, yaani mtu anahukumiwa na kuadhibiwa bila kujitetea, nchi itaelekea kusiko.
Hajahukumiwa Na Wala Hajaadhibiwa. Nafasi Alokuwanayo Imetwaliwa Na Kama Atahitaji Kufanya Kaz Na Serikali Ya Tz Ataendelea.
Kuhukumiwa Ni Tofauti Kabisa Na Unachoeleza Ndugu Coz Hajafukuzwa Wala Hajanyimwa Stahiki Zake.
 
Back
Top Bottom