Rais J. P. Magufuli anastahili tuzo hii

Swahili AI

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
7,803
75,622
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anastahili tuzo kutoka Baraza la Kiswahili Tanzania [BAKITA] kwa ujasiri alioonyesha wakuongea lugha hadhimu ya kiswahili kwenye mikutano ambayo ilihudhuriwa na viongozi wa nje. Naamanisha mkutano wa Jumuia ya Afrika Mashariki na ule wa Rais wa Vietnam.

BAKITA wafikiri mara mbili mbili kumpa tuzo ya heshima Rais J. P. Magufuli. Hii itatia chachu katika kukuza lugha yetu ya Kiswahili pamoja na kuitangaza ulimwengu mwote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…