Hatimaye Rais Donald Trump wa Marekani ametoa rasmi amri kushambuliwa kwa vituo vya nuclear vya Korea Kaskazini.
Sasa kinachosubiriwa ni majeshi ya nchi hiyo yaliyopiga kambi bahari ya PPasific karibu na Korea kuanza kutekeleza amri hiyo.
Hilo litakuwa ni shambulio la tatu kubwa kufanywa na rais Trump baada ya lile la Syria na Afghanistan. Hata hivyo shambulio hilo linatatajiwa kuwa vita kamili kutegemea na majibu kutoka Korea Kaskazini.
Huo ndio uchizi mnaanzisha maada za uongo mnajaza sever tu..Hatimaye Rais Donald Trump wa Marekani ametoa rasmi amri kushambuliwa kwa vituo vya nuclear vya Korea Kaskazini.
Sasa kinachosubiriwa ni majeshi ya nchi hiyo yaliyopiga kambi bahari ya PPasific karibu na Korea kuanza kutekeleza amri hiyo.
Hilo litakuwa ni shambulio la tatu kubwa kufanywa na rais Trump baada ya lile la Syria na Afghanistan. Hata hivyo shambulio hilo linatatajiwa kuwa vita kamili kutegemea na majibu kutoka Korea Kaskazini.
Sio wa ChatoHahahahahahaha huyu atakuwa ni Trump wa Mbeya si USA